Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani

Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani

Amani ipi unayoinongelea?
Ukicompare na kwa wenzetu wa alshabab au isis tuna afadhali, ila ukicompare na nchi nyingine zaidi ya 80, hatuna uafadhali wowote ule. Hii amani ni maneno tu tunaongea kujipa moyo ila zunguka dunia uone ujue ukweli
 
TRA.... jamani watumishi wa TRA bado wanazidi kutajirika na dili wanazo piga kila siku Serikali haipati stahiki za kodi!!
wahusika chunguzeni na mkague vilivyo!!
 
Tuna Amani mana hatupigani vita...hatuna fraha mana tunaishi kwa matukio na kupanfikizwa chuki.
 
Amani ipi unayoinongelea?
Ukicompare na kwa wenzetu wa alshabab au isis tuna afadhali, ila ukicompare na nchi nyingine zaidi ya 80, hatuna uafadhali wowote ule. Hii amani ni maneno tu tunaongea kujipa moyo ila zunguka dunia uone ujue ukweli
Je inawezekana kuwa amani halafu usiwe na furaha. Kama sivyo mbona Sudan na somalia zipo kwenye migogoro kila kukicha lakini wametuzidi kwa viwango vya furaha labda tuseme wametuonea hawa waliofanya huo utafiti.
 
Tena hata hapo ni kama wamechakachua tu, mlitakiwa muwe wa 155.
 
wana jamvi kama kichwa kinavyo jieelza mm ktk swala hili kiukweli linanipa shida kuu ktk nchi hii yaan kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguu kila ganda linanitoa machozi,NCHI HII NI KISIWA CHA AMANI HILO HALIPINGIKI LAKINA VIPI ILE TAARIFA YA BBC KUA TZ NI NCHI YA TATU KUTOKA MWISHO KWA RAIA WASIO NA FURAHA DUNIANI?Yaan hadi syria kwenye vita kbao wakatushinda!labda n akili zangu zmeishia kufklia hapo wajuz niahabakishen
 
Back
Top Bottom