Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani

Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani


Nchi zenye watu walio na furaha Duniani,
Nchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati

Source.BBC swahili
 
Nchi zote za Afrika ukitoa mbili za mashariki ya kati ambako kuna vita
 
Tanzania imezidiwa na congo na wakati huo congo wao muda mwingi wanapigana vita.
 
Hivi ni kweli hili?

View attachment 483739

======

Norway is the happiest place on Earth, according to a United Nations agency report - toppling neighbour Denmark from the number one position.
The World Happiness Report measures "subjective well-being" - how happy the people are, and why.

Denmark, Iceland, Switzerland and and Finland round out the top five, while the Central African Republic came last.

Western Europe and North America dominated the top of table, with the US and UK at 14th and 19th, respectively.

Countries in sub-Saharan Africa and those hit by conflict have predictably low scores. Syria placed 152 of 155 countries - Yemen and South Sudan, which are facing impending famine, came in at 146 and 147.

The World Happiness Report was released to coincide with the United Nation's International Day of Happiness on 20 March.

View attachment 483794

It mainly relies on asking a simple, subjective question of more than 1,000 people every year in more than 150 countries.

"Imagine a ladder, with steps numbered from 0 at the bottom to 10 at the top," the question asks.

"The top of the ladder represents the best possible life for you and the bottom of the ladder represents the worst possible life for you. On which step of the ladder would you say you personally feel you stand at this time?"

The average result is the country's score - ranging from Norway's 7.54 to the Central African Republic's 2.69. But the report also tries to analyse statistics to explain why one country is happier than another.

It looks at factors including economic strength (measured in GDP per capita), social support, life expectancy, freedom of choice, generosity, and perceived corruption.


Source: BBC
Hawa mburula hizi data za uongo. Syria watuzidi sisi na machafuko yote yale
 
Watu wanashindwa kuelewa kwamba nchi zenye vita wananchi pamoja na vita lakini wana furaha moyoni ya kuchukua maamuzi na kupinga kile ambacho hakipo sawa.

Binadamu ni conscious creature lazima achukie kuonewa. Lakini hapa kwetu watu wanachukia moyoni au kichin chini ndo maana hawana furaha.
 
Tanzania Ilitakiwa ishike nafasi ya 155 cema waliwahoji watu wenye uwezo kidogo, watz tuna stress za maisha sana, njaa, ajira Hakuna, udikteta, wenye vyeti feki ndo wanaopewa vyeo
 
Yamezungumzwa mambo mengi sana kuhusu utafiti unaoonyesha kuwa watanzania wanakiwango kidogo cha furaha. Sikiliza [HASHTAG]#EADRIVE[/HASHTAG] kufahamu zaidi.

C7cgcvtXkAACOb-.jpg
 

Nchi zenye watu walio na furaha Duniani,
Nchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati

Source.BBC swahili
Sijaiona Kenya, Uganda, Somali, South nk
 
Picture this

1. Tanzania nchi yenye watu wanaafiki sana duniani.
2. Tanzania nchi yenye watu wenye IQ ndogo duniani.
Utasikia jamani Tanzania nchi ya amani, tunaambiwa sisi ndiyo kimbilio la majirani zetu, sasa utashangaa kumbe ukweli siyo nchi ya amani ni ya waoga, kama tusingekuwa waoga tungekuwa na furaha, tunazidiwa hata nchi zilizokuwa kwenye vita kama Liberia, du nimesikitika sana, huo utafiti ni wa kweli kabisa, watanzania unaweza uingie kwenye basi wote wamenuna hadi unashangaa.
 
Kama mlizoea kuiba na Mr President kapiga kufuli pesa zisiibiwe hiyo furaha itatoka wapi? Ukichange maisha kulingana na wakati utafurahia tu maisha.
 
Huu utafiti ni uchwara ni Sawa na ule wa taasisi ya Twaweza ya hapo Tanzania inayotoa tafiti kulingana na upepo.

Wazungu ni wapuuzi tu sina hata muda wa kuwasikiliza.

Mfano, wanyarwanda wamehojiwa na BBC Swahili, wanyarwanda wote wamekataa na wamesema wao wana furaha. Amani na kila Raha.

Hata hapo Tanzania wamesema wanafuraha. Sasa wao walihoji watanzania au wanyarwanda wa wapi?

Je, hapo furaha inazungumziwa ya aina gani mfano, nchi zenye vita zinakuwaje juu ya Tanzania
Watafiti hao je, walihoji watu wa Somalia, Sudan Kusini, Sudan, Iraq, Libya, Syria, na zingine kama hizo wakaiona furaha huko?

Huu ni utafiti uchwara na wazungu pori kutuona waafrika kama vile sisi sio viumbe.

Mi kwa kifupi niseme, naishi na wazungu ni wanafiki Sana sana.
Katika kuishi kwako na hao wazungu; umejuaje kati yenu mwenye furaha ya kweli toka moyoni ni wewe au hao wazungu?,.

Utafiti hupingwa kwa utafiti.
 
Ripoti ya kihuni hii, huwezi kufananisha Tanzania na nchi zenye vita kila uchao, ukauhadaa umma wa Tanzania kwamba nchi zenye vita raia wake wana furaha zaidi kuliko Watanzania.
 
Ni kweli hatuna furaha, na bado tunaendelea kuipendana na kuitukuza ccm. Acha tuisome number
 
Back
Top Bottom