Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani

Rommy Ronny

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
664
884
Hivi ni kweli hili?

IMG-20170320-WA0005.jpg


======

Norway is the happiest place on Earth, according to a United Nations agency report - toppling neighbour Denmark from the number one position.
The World Happiness Report measures "subjective well-being" - how happy the people are, and why.

Denmark, Iceland, Switzerland and and Finland round out the top five, while the Central African Republic came last.

Western Europe and North America dominated the top of table, with the US and UK at 14th and 19th, respectively.

Countries in sub-Saharan Africa and those hit by conflict have predictably low scores. Syria placed 152 of 155 countries - Yemen and South Sudan, which are facing impending famine, came in at 146 and 147.

The World Happiness Report was released to coincide with the United Nation's International Day of Happiness on 20 March.

furaha.png


It mainly relies on asking a simple, subjective question of more than 1,000 people every year in more than 150 countries.

"Imagine a ladder, with steps numbered from 0 at the bottom to 10 at the top," the question asks.

"The top of the ladder represents the best possible life for you and the bottom of the ladder represents the worst possible life for you. On which step of the ladder would you say you personally feel you stand at this time?"

The average result is the country's score - ranging from Norway's 7.54 to the Central African Republic's 2.69. But the report also tries to analyse statistics to explain why one country is happier than another.

It looks at factors including economic strength (measured in GDP per capita), social support, life expectancy, freedom of choice, generosity, and perceived corruption.


Source: BBC
 
furaha inaletwa na uhakika wa maisha mazuri kama huna uhakika lazima uwe mtu wa kununa na mawazo kibao kila siku, kwa watumishi wanawaza kutumbuliwa wakati wote hawana raha, wafanyabiashara wanaza ongezeko la kodi, wanafunzi wanawaza mazingira ya shule/chuo na mikopo raha utatoa wapi?
 
h
furaha inaletwa na uhakikia wa maisha mazuri kama huna uhakika lazima uwe mtu wa kununa na mawazo kibao kila siku, kwa watumishi wanawaza kutumbuliwa wakati wote hawana raha, wafanyabiashara wanaza ongezeko la kodi, wanafunzi wanawaza mazingira ya shule/chuo na mikopo raha utatoa wapi?
 
Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani.

Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155.

Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani wake Denmark, ambayo ichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita.

Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayona ni kwa nini.

Uhaba mkubwa wa wafungwa waikumba UholanziKuwa na mpenzi na afya nzuri huchangia furahaBia husaidia watu 'kufungua roho'Watanzania hutafuta nini mtandaoni?

Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya katika ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani.

Haki miliki ya pichaAFP

Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19.
 
Tanzania na Rwanda miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani
_95233082_gettyimages-84745752.jpg
HakiGETTY IMAGES
ImageNorway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani

Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani.

Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155.

Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani wake Denmark, ambayo ichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita.

Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayona ni kwa nini

Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya katika ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani.

_95235449_effb788b-f609-4ff7-80e8-2dd6d4a1a1b2.jpg
HakiAFP
Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19.

Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na zile zinazokumbwa na mizozo, zina alama za chini. Syria ilichukua nafasi ya 152 kati ya nchi 155 huku Yemen na Sudan Kusini, nchi zinazokumbwa na njaa zikichukua nafasi za 146 na 147 mtawalia

Nchi zenye watu walio na furaha na wasio na furaha Duniani
Nchi zenye watu walio na furaha Duniani
Nchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati
 
Mi nashauri tuangalie the comedy tunaweza kuwa kwenye kumi bora nahisi
 
Back
Top Bottom