uhalisa gani anaoutaka huyu jamaa, hivi Azory kasharudi? Ben Karudi, waliommiminia risasi Lissu washapatikana? nani alizuia mikutano ya hadhara kwa miaka 5 ? nkWaziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amesema ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini Tanzania iliyotolewa na UN haina uhalisia wowote.
Kabudi amemtaka balozi wetu pale UN kuwafafanulia jinsi mambo yalivyo mazuri hapa nchini hapo barazani Umoja wa Mataifa.
Source BBC
Maendeleo hayana vyama!
UN si wa kuchezea chezea, wameandika wakiwa na ushahidi tosha!! Kwa ujumla wake haya yote yanaweza kugeuka muda wowote yakawa ni mashitaka.