Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,086
Heshima kwenu wadau.
Tanzania imepanda kutoka nafasi ya nne mpaka ya tatu duniani katika viwango vya rushwa na ufisadi wa mali ya umma, Tanzania imezipiku baadhi ya nchi za Afrika katika ufisadi wa mali ya umma,imetajwa kuwa na kiwango kikubwa sana cha rushwa duniani.
source:Mwananchi
My take:
Je kuna sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa kuongoza nchi kama hali ndio hii,Nchi sasa inaongoza kwa ufisadi bado tuwaamini tena? Mtanzania tafakari chukua hatua tuondoe mafisadi madarakani!