Tanzania yapanda katika viwango vya rushwa na ufisadi duniani! Yazipiku baadhi ya Nchi Afrika:

Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,700
1,086
Heshima kwenu wadau.

Tanzania imepanda kutoka nafasi ya nne mpaka ya tatu duniani katika viwango vya rushwa na ufisadi wa mali ya umma, Tanzania imezipiku baadhi ya nchi za Afrika katika ufisadi wa mali ya umma,imetajwa kuwa na kiwango kikubwa sana cha rushwa duniani.

source:Mwananchi

My take:

Je kuna sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa kuongoza nchi kama hali ndio hii,Nchi sasa inaongoza kwa ufisadi bado tuwaamini tena? Mtanzania tafakari chukua hatua tuondoe mafisadi madarakani!
 
ngumu kumeza bila ushahidi.
 
Weka hiyo list tuichambue!ukisha kuwa na utaratibu wa kuchagua viongozi kwa kujuana,urafiki,kulipa fadhila,hakuna kustaafu,uccm unategemea nini?polisi,mahakama,ardhi,uhamiaji,maliasili,tanesco,tra,afya pananuka rushwa
 
My take:

Je kuna sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa kuongoza nchi kama hali ndio hii,Nchi sasa inaongoza kwa ufisadi bado tuwaamini tena? Mtanzania tafakari chukua hatua tuondoe mafisadi madarakani!
Watanzania walishatafakari na kuchukua hatua lakini wakasahau kuwa ulinzi wa kura ulikuwa muhimu zaidi ya kupiga kura kwenyewe, matokeo yakachakachuliwa.
Nakushauri uwaombe kuwa kilichopo sasa ni kutake risk kuhakikisha matokeo ya kura yanakuwa kama zilivyopigwa. Bado mambo ni magumu maana hata zoezi la katiba linaonekana kuingiliwa tayari.
 
hii ni sifa muhimu sana kwa CCM, Mgombea bila kuwa na sifa hii yeye alie tu
 
Back
Top Bottom