Tanzania yaongoza duniani

Tanzania yaongoza duniani

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
Nchi ya tanzania inaongoza duniani kwa kuwa na makato mengi ya uwanjani,hii imesababisha kutopatikana na mapato ya kutosha kwa timu zetu na kusababisha kuendelea kuwa masikini,haya yalithibitishwa na aliekuwa mwenyekiti wa simba aliemaliza mda wake alipoongea na kituo cha chanel ten
 
Usisahau kuwa huu mfumo mpya wa tickets za electronic ndo utakuja kuvimaliza vilabu vya tanzania, chezea Jamali Malinzi wewe!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na bado 5% zipo mbioni kukatwa ili tuzidi kuwa kileleni viva TFF!!!
 
Usisahau kuwa huu mfumo mpya wa tickets za electronic ndo utakuja kuvimaliza vilabu vya tanzania, chezea Jamali Malinzi wewe!!!!!!!!!!!!!!!!
tenga alitaka kutupa mtu sahihi nyamlani ila watu walimkataa kabisa wakamtaka malinzi kumbe ndio mavi matupu
 
Back
Top Bottom