Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 65,265
- 112,028
Kadri ambavyo watu wachache duniani wanazidi kuwa matajiri wakineemeka na kuishi maisha ya kifahari huku watu wengi zaidi wakiishi maisha ya ufukara na kwa kipato duni cha siku tu je hakuna siku yatatokea yale mapinduzi aliyosema Karl Marx ya darala la watu masikini wavuja jasho kuvamia daraja la matajiri mabepari na watawala na kusababisha vurugu kubwa sana wakigawana mali zao na kuchukua uongozi katika mataifa mbalimbali hasa yale yenye masikini wengi ?
Naona kama watu wakifika bilioni kumi duniani ipo siku patawaka sana, watu watachinjana kati ya masikini wavuja jasho dhidi daraja la matajiri na watawala.
Naona kama watu wakifika bilioni kumi duniani ipo siku patawaka sana, watu watachinjana kati ya masikini wavuja jasho dhidi daraja la matajiri na watawala.