Hacha ku bwabwaja...February sio mbali....Kwani wewe Nani ilituamini kuwa Ni ITX...Wewe ndiye unaye soeculate, unazungumza vitu bila ushahidi wowote. Reli yetu design ni mwendokasi wa 160km/hr, sio zaidi ya hapo. Trains tutakazo nunua ni zenye ni ITX kutoka South Korea ambazo maximum speed yake ni 165km/hr, ukiacha hizo South Korea wanatengeneza KTX ambazo kasi yake ni 305km/hr, na huwa zina 18 coaches per Train, hizi ni ghali sana kuzinunua na kuziendesha, sio tu kwa nchi masikini, lakini pia uwezekano wa kusababisha ajali ni mkubwa sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app