1. Haki za binadamu ni haki za wote including mashoga. Mashoga nao ni watu huwezi ukawanyima haki zao za kimsingi kama kuishi kwa sababu wao ni mashoga. Ndio maana hata hapa nchini zipo NGO za haki za binadamu lakini hazijafutwa ila hakuna NGO inayotetea mashoga specifically.Mkuu jMali nikukumbushe tu au kukuelimisha kwamba wote,wakiwamo NGOs, wanaotetea haki za binadamu wanatetea haki ya binadamu kuchagua kuwa shoga. Watetea haki za binadamu wanatetea ushoga kwa 100%. Hivyo kama huyo balozi Ni mtetezi wa haki za binadamu lazima atakua mtetezi wa mashoga. Haki za binadamu ni pana mno na zinajumuisha sexual orientations.
je ni vyema balozi kuwa biased.........kwa nini atetee wapinzani? So anakuja kuiwakilisha ujerumani kwa wapinzani au kwa watanzania wote?.......wa china kaleta ujinga watu wamesema ,huyu anayekuja kuwatetea wao wanamtaka1. Haki za binadamu ni haki za wote including mashoga. Mashoga nao ni watu huwezi ukawanyima haki zao za kimsingi kama kuishi kwa sababu wao ni mashoga. Ndio maana hata hapa nchini zipo ngo za haki za binadamu lakini hazijafutwa ila hakuna ngo inayotetea mashoga specifically.
2. Ukweli ni kuwa balozi huyu anapingwa kwa sababu alipokuwa kenya alikuwa anatetea wapinzani dhidi ya serikali hivyo serikali yetu inamwona atakuja kuja mwiba hasa kwa haya yanayoendelea sasa hivi ya katiba mpya.
je ni vyema balozi kuwa biased.........kwa nini atetee wapinzani? So anakuja kuiwakilisha ujerumani kwa wapinzani au kwa watanzania wote?.......wa china kaleta ujinga watu wamesema ,huyu anayekuja kuwatetea wao wanamtaka
Serikali ya tanzania haitaki kuumbuliwa!!!
je ni vyema balozi kuwa biased.........kwa nini atetee wapinzani? So anakuja kuiwakilisha ujerumani kwa wapinzani au kwa watanzania wote?.......wa china kaleta ujinga watu wamesema ,huyu anayekuja kuwatetea wao wanamtaka
res ipsa loquitoruna hakika yuko biased au uko biased kwamba yuko biased?
nutrality ni matter of facts hapo mzeebalozi hatakiwi kuwa biased, lakini anatakiwa kuwa mkweli. Kwa hali ya sasa kuwa neutral ni sawa sawa na kuwa upande wa upinzani kitu ambacho ccm haitaki. Hivi unadhani balozi akitoa maoni yake kuhusu huu mchakato wa katiba yatafanana na ccm au wapinzani?
res ipsa loquitor
more like "Deux es machina".
Deus ex machina
simply hatupendi wachokonozi