Tanzania yakusanya trilion 7.37 ndani ya miezi 5, yaongoza kwa kasi ya Uchumi SADC na EAC

Kwa hiyo,unasema trilioni 7 kwa miezi mitano ni ndogo, unatoa ushauri tax base iongezwe kivipi? Kundi gani lijumuishwe au litozwe kodi zaidi?

Hiyo ni mada nyingine. Anzisha nitaichangia ipasavyo.
 
Me niulize swali hapo,huo mkoa unaoishi wewe umewah kugundua kuwa uchumi umepanda au huwa unasoma hbar kutoka kwenye magazeti tu?

"Uchumi umepanda kwa kasi "
Kilo ya aukari ni bei gani
Mahindi ni bei gani
Vifaa vya ujenzi ni bei gani
Mafuta: patrol,diesel, kerosene bei zinataka kufanana na maeneo mengine zimesha fanana kwa kupanda.

Chukua mfano wa hivyo nilivyoandika kisha linganisha na bei ya uchumi wa zamani ambao tulikua tunasema ni mbovu halaf nipe majibu..uchumi umepanda kwa kasi wapi?

Bro usifate mkumbo kushabikia ki2 kabla ya kukifanyia uchunguzi et kisa kimeandikwa kwenye gazeti la serikali.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mindset ya ajabu sana, mwiba kwa chadema? Kwa hiyo mnafanya kazi kuwaridhisha chadema?
 
Amaa kweli! sisi maskini tu jisifia kukusanya tirioni Saba jana nilikuwa na angalia mauzo ya kampuni ya Huawei kwa nwaka huu wameuza USB 109 billion kama tirion 240 hivi za kibongo, ni kasema huzi fikra za kutembea kifua mbele zinatoka wapi ikiwa kampuni moja inaingiza pesa mara saba ya budget yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtawadanganya wajinga. Mnafocus kwenye uchumi wa vitu. Watu mtaan wapo hoi

Sent using samsung galaxy grand prime pro
 
Hi trillion kwa sasa Dillari ilivo panda na shillingi kushuka ni mbwembwe za kisiasa. Ukichukulia thamani halisi ni kuwa mapato yameshuka


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema Serikali imefanikiwa kukusanya trilion 7.37 ndani ya miezi mitano tu.! Na amebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi kwa nchi zote za SADC na EAC.

MY take.
Hii habari ni mwiba mchungu kwa chadema na vibaraka wote wa mabeberu ambao hawaitakii mema nchi yetu.

View attachment 981673

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo...

Na haruhusiwi mtu kuhoji kitu tukisema tumesema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema Serikali imefanikiwa kukusanya trilion 7.37 ndani ya miezi mitano tu.! Na amebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi kwa nchi zote za SADC na EAC.

MY take.
Hii habari ni mwiba mchungu kwa chadema na vibaraka wote wa mabeberu ambao hawaitakii mema nchi yetu.

View attachment 981673

Sent using Jamii Forums mobile app
ni huyuhuyu juz tu alikuwa analialia uchumi Tanzagiza mapato yamedorola. kwa maigizo tu hamuwekezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanatafuta hoja na matusi jinsi ya kujibu!
jiwe kavuliwa
FB_IMG_1546338668690.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom