Tanzania yakataa ombi la Kenya la kuomba msamaha kuhusu mzozo wa zuio la ndege za Kenya

Tuwa-ignore kwa mwaka hivi!
 
Hapo sasa wamekamatwa kwenyewe wanaomba poo mpaka uchaguzi upite ndio tutaangalia mambo mengine maana hatuna cha kupoteza
 
T
Wakenya bwana na demokrasia yao ya kuiga! Walichosahau Africa tuna utaratibu wetu wa kuishi! Viva magu viva tulichelewa sana! Haiwezekani korona ilipo anzia eti wako vizuri, sisi majirani eti tuna korona, hiyo akili ni sawa na matope!
Kwanza mi naona ni bora tuendelee hivi hiv maana kuna msemo unasema akusaidiae Kwa dhiki ndie rafiki sasa tukiwaruhusu hawa
tutakua tumetoa pigo kwa waliotusaidia kwenye dhiki ambao ni Ethiopia na Rwanda kwahiyo mimi naona sasa hivi kila mtu angalie maslahi yake, tukiendelea hivi kwa TANZANIA kunafaida zaidi kuliko kurudisha ruti za KQ. Kama malipo ya kutua ndege yapo pale pale hamna tulichokosa
 
U knuckleheads keep focussing on Kenya Instead of issues affecting ua own nation. Is Kenya ua agenda. You're all just mere losers
 
Nasikia siku hizi Tanzania tunaenda mwendo wa tit for tat, ni aje mazee Mzee Magu anawacheki.
 
Hakuna Cha normal business na Kenya. Wakenya ni washenzi kabisa they can go to hell. Ikibidi tutajenga ukuta au kuweka waya katika mpaka wote wa Kenya na Tanzania Kama USA ilivyofanya na Mexico.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…