Tanzania yaijengea reli Uganda, South Sudan yavutiwa, yaomba kuitumia bandari ya Dar kupitia Uganda.

JPM jamani basi sasa hizi sifaaa sasa Wakenya sio kwa ubaya lakini tunajaribu kutumia rasilimali zetu tu japo kwa uchache

Lamu vepeee the first deepest docker in the region, serving panamax and neopanamax vessels South Sudan ndio yenye herufi nyingi kwenye white elephant ya LAPSSET halafu haitaki kusikia kabisa kuhumusu

Wakenya mnafeli wapi? Nani aliwaloga?
rudia hio setensi bila kuliasi lamu port hua inakuuma JAMAni?kamwambie jiwe ajenge bagamoyo na uaache wivu wa like
 


Hii ni habari njema sana kwa utengemano wa EAC. Ninakumbuka siku za nyuma nchi za Uganda, Rwanda, South Sudan zikiongozwa na Kenya, zilizindua reli ya kuziunganisha kule Mombasa chini ya Umoja uliojulikana kama "Coalition of the willings"(CoW), sina uhakika kama Umoja huo bado upo.

Nchi zile zile zimeamua kutumia bandari ya Dar, kila nchi ikitoa sababu tofauti, South Sudan imekua nchi ya mwisho kuja kuomba kutumia bandari ya Dar. Hii ni baada ya kusikia kwamba, Tanzania imetoa pesa, vifaa na mafundi ambao walienda kufufua reli ya Uganda toka Port bell hadi Kampala, ili treni zinazitoka Dar, zikifika Mwanza zibebwe na meli maalumu hadi port bell na hatimaye kufika Kampala. Tafadhali tuupatie jina huu umoja wa sasa, ili tuutofautishe na" CoW".

Unaitafutia jina kwani mnashindana na Kenya?
 
Unaitafutia jina kwani mnashindana na Kenya?
Hapana sio kushindana, lengo ni kuzitofautisha hizi "two coalisions for easy references" hapa katika mjadala, Kenya na Tanzania sio "competitors, they are partners in developments".
 
Hawa jamaa wanahaha kweli na wanasiasa....wanadhani ni mfanyi biashara gani mwenye atapagawa atumie bandari ya dar....bwahahhaaa
 
Tafadhali tumieni lugha ya staha(avoid vulgar language), unapachika majina ya kihumi(showing lack of etiquette) kwa jirani zako ambao wemewekeza Tanzania zaidi ya kampuni 150 na wewe huna hata kampuni moja kwao! aliyetangulia katangulia tu!
Tena ujirani wa nchi na nchi ambao huwezi hata kuhama. Tumieni lugha za staha; hoja zitaeleweka tu ilimradi ni za ukweli maana ukweli haufichiki hata kama utatumia gharama kubwa kiasi gani kuuficha, hatimae itajulikana tu kwamba Kilimanjaro iko Tanzania, Samatta ni mtanzania na mtaa wa mabanda uko Nairobi.
 
Hii habari ni mbaya naona kuna mfipa mmoja povu limemtoka na wanapinga hii nchi isipate maendeleo .... wasahau kuja kuongoza hii nchi
 
Tutofautishe mikataba inayofanywa kisiasa kuputia wakubwa au mawaziri na mabalozi wanayoifanya kama show na kile wanachofanya wafanyabiashara baada ya mikataba hiyo kufanyika.

Mfanyabiashara anaangalia faida sio kiki za wanasiasa.
Kenya ni nchi yenye viongozi wenye moyo na roho ya kibiashara na uchumi sio watanzania wanaofanya siasa kwenye kila kitu na hofu ya kusema kila kitu tunaibiwa utadhani wao ndio waliumba hizo rasilimali ambazo dunia itachakaa na kuangamia kabla ya kuzimaliza huku wananchi wakifa maskini na rasilimali lukuki zikibaki kama vumbi pale dunia itakapoangamizwa na mapigo ya makombora ya Nyukilia na mionzi mikali ya jua na mafuriko ,vimbunga na kadhalika kutokana na mazingira kuharibika kutokana na vita zinazozidi kuinyemelea dunia.

MKenya anaweza akaweka bandari Huru na watu wakapitishia mizigo yao yote pale.
Biashara na uchumi na mipango ni akili na maarifa sio mbwembwe za hiyena hiyena ,mbele kwa mbele ,wataisoma namba na blabah za kina Msiba mkuwa.

Majirani zetu Wengi wanaiweka Tanzania kama chaguo la akiba mana Kenya kuna Tatizo la Ugaidi ,hivyo kikinuka wanaleta mizigo yao kupitia Tanzania lakini sio kwamba wanapenda kupitishia Tanzania.
Hakuna mfanyabiashara anayependa hasara hata Siku moja.

Ni kama Bomba la mafuta. Kenya wana ardhi ndogo yenye rutuba; walipiga hesabu kutoa eneo la Ardhi yao Kutoka Mpakani na Uganda mpaka Mombasa wakagundua kuwa inaukubwa wa Wilaya nzima. Wakaamua kuupotezea mbali huo ukabaila na unyonyaji mkubwa na wizi wa ardhi ya wananchi ambayo haina muda maalumu wa kutumia.
Tanzania tukashangilia kuwa sisi tumelamba dume na kukimbila haraka haraka kumpa Mganda ardhi kubwa ambayo mpaka sasa hatujui inaukubwa kupitisha baomba la mafuta yake na kwenda kuuza huko nje na kupata pesa za waganda huku vizazi vyetu baadae vikija kukosa ardhi. Mana linapopita bomba la mafuta na gesi haiwezekana tena kufanya shughuli za kilimo na uchimbaji wa madini na kupanda misitu wala miti ya matunda.


Kenya wanalenga uchumi wao zaidi ndio maana mpaka leo ndilo taifa lenye uchumi imara Afrika Mashariki pamoja na vita kubwa ya Ugaidi inayowazunguka.
Ni nchi yenye demokrasia angalau kidogo tofauti na Manchu hayo mengine ikiwemo Rwanda na Uganda ambazo ni siasa za bunduki mkononi ndio zinaziweka serikali madarakani.

Bado Kenya ni mfano mzuri wa kisiasa na kiuchumi kwa Afrika Mashariki.
Kikwete na Mkapa waliogopwa na hao jamaa mana wawekezaji walizikimbia hizo nchi na kukimbilia Tanzania hasa baada ya kuwa na Gesi nyingi na kile walichokiita kuvutia wawekezaji ;Tatizo ni Rushwa kubwa ndani ya serikali ya CCM toka kwa wawekezaji iliyokuwa inatumika kupata hela za kuhonga wapiga kura na kuwatisha wawekezaji na wafanyabiashara na wakubwa wengine ndani ya vyombo vya dola, kuwa wakizubaa bila kutoa pesa za kuisaidia CCM , basi Chama kingine kikiingia madarakani watafilisiwa na kufukuzwa nchini na wengine kuvuliwa vyeo vyao.
Wtf is this nonsense.
 
Hahahaha! It beats logic mwanabiashara kupitisha mizigo Dar to Sudan when Kenya and Sudan share a border??? joto la jiwe akili zako timamu kweli unapo post such cheap propaganda??? Hapana tumia kichwa Kama kabati ya meno...reason bwana!
Yeye ni robot ya sisiemu na jiwe ,kazi yake ni kutapika propaganda za kipuuzi bila kutumia logicBora tu aingize mchicha kutota kwa ccm
 
Hakuna Yesu atakaerudi buda, endeleeni kuwa brainwashed whilst wanaume tunafukuza mwizi.
Huyu mwizi mlianza kumfukuza tangu enzi za babu zenye,yaani tangu enzi za Nyerere na mtaendelea kumfukuza mpaka enzi za wajukuu na vitukuu vyenyu
 
Hawa jamaa wanahaha kweli na wanasiasa....wanadhani ni mfanyi biashara gani mwenye atapagawa atumie bandari ya dar....bwahahhaaa
Watakwambia pia waethiopia pia wameanza kutumia bandari ya dar...yaaani ccm inajua hua inatawala nugu
 
Yeye ni robot ya sisiemu na jiwe ,kazi yake ni kutapika propaganda za kipuuzi bila kutumia logicBora tu aingize mchicha kutota kwa ccm
Hivi wewe ulizaliwa kwa operation ama SVD?. Mimi nimekuwekea clip ya video, sasa hiyo propaganda niliyotapika toka kichwani mwangu ni ipi,?.
 
Huyu mwizi mlianza kumfukuza tangu enzi za babu zenye,yaani tangu enzi za Nyerere na mtaendelea kumfukuza mpaka enzi za wajukuu na vitukuu vyenyu
Nyerere alikua busy kupigana vita vya ukombozi wa Africa. Akili zako huwa unazitia kwapani au?
 
Huyu mwizi mlianza kumfukuza tangu enzi za babu zenye,yaani tangu enzi za Nyerere na mtaendelea kumfukuza mpaka enzi za wajukuu na vitukuu vyenyu
Kuna jamaa ywaitwa mfiaukwel...aluwanyorosha vibaya sana hawa jamaa....joto la jiwe kaulizwa feasibility study ya sgr jiwe iko wapi...

Joto kasema eti ni public document...mara tena akiitaka aende kw wizara husika ataonyeshwa...nikaamuuliza yeye ameshawai enda na akaonyeshwa...jamaa akalenga hadi leo
 
Back
Top Bottom