ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,054
- 49,738
Nchi za Angola,DRC na Zambia zimetenga zaidi ya Rand Bilioni 10 Kwa Ajili ya kufufua reli ya Benguela inayoziunganisha Nchi hizo..
Marais wa Nchi hizo 3 walikutana kwenye Mji wa Bandari wa Lobito Ili kufufua ufanyaji kazi wa Reli hiyo ambayo ilisimama kutokana na shida za vita Nchini Angola..
Ikumbukwe kutoka Lobito Port Hadi Lubumbashi ni km 1300 tuu wakati kutoka Dar Hadi Kapiri Mposhi via Tazara ni zaidi ya km 1860.
Wakizungumza Mjini Lobito,Marais hao walisema Msongamano mkubwa na Ufanisi mdogo kwenye bandari za Afrika Mashariki(Dar es salaam) ni sababu iliyopelekea kufikiria njia mbadala Ili kupunguza gharama za uendeshaji
Reli hiyo itaendeshwa na kusimamiwa na kampuni binafsi ya The Lobito Atlantic Railway ambayo ni ubia wa makampuni binafsi Ili kuongeza Ufanisi wa biashara..
My Take
Wenzetu wanakabidhi uendeshaji wa reli na Bandari Kwa kampuni binafsi sisi tunaendelea kubishana,Wacha wakimbie mtakuwanapigia picha hizo reli na Bandari na bahati mbaya ukiacha Ufanisi mdogo pia reli yetu ni mbali zaidi.

Angola, DRC eye iconic rail revamp to quench global minerals thirst
Angola and the Democratic Republic of Congo are pinning hopes for economic revival on the revamp of an iconic African railway connecting mineral-rich inland areas to the Atlantic Ocean. Angola and the DRC hope the railway will also boost their economies, which depend on oil and mining respectively.
www.legit.ng