Tanzania yaijengea reli Uganda, South Sudan yavutiwa, yaomba kuitumia bandari ya Dar kupitia Uganda.

joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
9,635
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
9,635 2,000
Kuna jamaa ywaitwa mfiaukwel...aluwanyorosha vibaya sana hawa jamaa....joto la jiwe kaulizwa feasibility study ya sgr jiwe iko wapi...

Joto kasema eti ni public document...mara tena akiitaka aende kw wizara husika ataonyeshwa...nikaamuuliza yeye ameshawai enda na akaonyeshwa...jamaa akalenga hadi leo
Acha kupanic, hii miradi yote ilikuwa Kenya, wakati Paul Kagame, Museven, Kiir na Uhuru walivyokuja kuzindua reli kama sehemu ya LAPSET, mliona ni kitu kizuri sana, wengi mlipita huku mkijipiga kifua.

Mlipokubaliana na Uganda kupitisha BOMBA la mafuta toka Uganda, Kenya nzima ilishangilia, sasa hivi mambo yamegeuka mnaanza kurusha mikono hewani na kuona haitofanikiwa.

Hii ni biashara kila nchi lazima ivutie kwake, usiwe na wivu wa kijinga, kujeni na mipango bora zaidi ili mfanikishe biashara, hapana kuonea wivu mwenzako anayejipanga, na wewe jipange zaidi yake.
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
2,488
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
2,488 2,000

Biashara sio siasa baba....unafikiria biashara nkm yule rais wa AFDB mkamuhonga ndio aje ikulu awe km shahidi ya kwamba uchumi unakua...

Wafanyibiashara ndio wenye hela...you can't force them...lazima wajichagulie chenye wanataka...so hzo ni siasa za ccm tu...bwahahaa
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
9,635
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
9,635 2,000
Biashara sio siasa baba....unafikiria biashara nkm yule rais wa AFDB mkamuhonga ndio aje ikulu awe km shahidi ya kwamba uchumi unakua...

Wafanyibiashara ndio wenye hela...you can't force them...lazima wajichagulie chenye wanataka...so hzo ni siasa za ccm tu...bwahahaa
Jukumu la serikali ni kujenga mazingira mazuri ya kufanya biashara, ikiwemo reli, barabara vyenye uhakika na bei nafuu, hicho ndicho kinachofanyika ili wafanyabiashara waweze kuchagua wapi kuzuri. Tunajaribu kuboresha Huduma zetu ili tuweze kuwashawishi.

Ninyi kama mnaona haya yote tunayofanya hayana maana yoyote, "well and good", ninyi endeleeni kufanya vile mbavyodhani ni sawa kwa upande wenu, kwanza sisi ni washindani, wote tunagombania UGANDA na South Sudan, ambao basically ni Wateja wa Kenya, tunachofanya ni kujaribu kupata" share " ya mizigo ya hizi nchi mbali. Ninyi endeleeni kupiga usingizi. Hapa Kazi Tu.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
12,016
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
12,016 2,000
Jukumu la serikali ni kujenga mazingira mazuri ya kufanya biashara, ikiwemo reli, barabara vyenye uhakika na bei nafuu, hicho ndicho kinachofanyika ili wafanyabiashara waweze kuchagua wapi kuzuri. Tunajaribu kuboresha Huduma zetu ili tuweze kuwashawishi.

Ninyi kama mnaona haya yote tunayofanya hayana maana yoyote, "well and good", ninyi endeleeni kufanya vile mbavyodhani ni sawa kwa upande wenu, kwanza sisi ni washindani, wote tunagombania UGANDA na South Sudan, ambao basically ni Wateja wa Kenya, tunachofanya ni kujaribu kupata" share " ya mizigo ya hizi nchi mbali. Ninyi endeleeni kupiga usingizi. Hapa Kazi Tu.
Ukweli ni kwamba pumzi yao imekata,baada ya mchina kuwafanyia roho mbaya ktk loan.

Kilichopo hapa watu wanajaribu kuramba sukari baada kunywa dawa chungu.
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
2,488
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
2,488 2,000
Jukumu la serikali ni kujenga mazingira mazuri ya kufanya biashara, ikiwemo reli, barabara vyenye uhakika na bei nafuu, hicho ndicho kinachofanyika ili wafanyabiashara waweze kuchagua wapi kuzuri. Tunajaribu kuboresha Huduma zetu ili tuweze kuwashawishi.

Ninyi kama mnaona haya yote tunayofanya hayana maana yoyote, "well and good", ninyi endeleeni kufanya vile mbavyodhani ni sawa kwa upande wenu, kwanza sisi ni washindani, wote tunagombania UGANDA na South Sudan, ambao basically ni Wateja wa Kenya, tunachofanya ni kujaribu kupata" share " ya mizigo ya hizi nchi mbali. Ninyi endeleeni kupiga usingizi. Hapa Kazi Tu.
Hamna kitu hapo...yani ni sawa na mtu wa nairobi kusafirisha mzigo wa arusha kupitia mombasa....halafu uende dar ndio uingie arusha eti kisa ni cheap...bwahahaaa...nakwambieni...hta mkiamua kuwabebea bure bado wengine hawatoshirikiana na nynyi...
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
18,156
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
18,156 2,000
Jukumu la serikali ni kujenga mazingira mazuri ya kufanya biashara, ikiwemo reli, barabara vyenye uhakika na bei nafuu, hicho ndicho kinachofanyika ili wafanyabiashara waweze kuchagua wapi kuzuri. Tunajaribu kuboresha Huduma zetu ili tuweze kuwashawishi.

Ninyi kama mnaona haya yote tunayofanya hayana maana yoyote, "well and good", ninyi endeleeni kufanya vile mbavyodhani ni sawa kwa upande wenu, kwanza sisi ni washindani, wote tunagombania UGANDA na South Sudan, ambao basically ni Wateja wa Kenya, tunachofanya ni kujaribu kupata" share " ya mizigo ya hizi nchi mbali. Ninyi endeleeni kupiga usingizi. Hapa Kazi Tu.
Pamoja na kwamba Kenya hujitamba humu ndani Ukweli ni kwamba Kenya hawana barabara ya lami kuelekea South Sudan wakati Uganda ni mkeka all the way to Juba from Kampala. Sasa hapa kuna reli mpaka Mwanza then wagon ferry to Port Bell before a rail to Kampala then trucks! Mind u Uganda prioritize South Sudan than both Kenya n Rwanda in SGR n now NGR revamp!
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
9,635
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
9,635 2,000
Hamna kitu hapo...yani ni sawa na mtu wa nairobi kusafirisha mzigo wa arusha kupitia mombasa....halafu uende dar ndio uingie arusha eti kisa ni cheap...bwahahaaa...nakwambieni...hta mkiamua kuwabebea bure bado wengine hawatoshirikiana na nynyi...
Hahahahaha, endeleeni kuchapa usingizi, mtakumbuka kujifunika shuka wakati kumeshapambazuka. Hapa kazi Tu.
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
2,488
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
2,488 2,000
Hahahahaha, endeleeni kuchapa usingizi, mtakumbuka kujifunika shuka wakati kumeshapambazuka. Hapa kazi Tu.
Wuhuhuuu..eti mtanzania leo naye kajionea amerauka....narudia tena..hta mkiwabebea mizigo bure..bado kuna wengine hawatapitisha mizigo yao na tz
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
9,635
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
9,635 2,000
Wuhuhuuu..eti mtanzania leo naye kajionea amerauka....narudia tena..hta mkiwabebea mizigo bure..bado kuna wengine hawatapitisha mizigo yao na tz
UN hao tayari wameshahama, sasa hivi 90% ya Mizigo ya Rwanda, 98% Burundi, 25% Uganda inapitia Tanzania. Hii ya UN pekee inaingiza pesa nyingi saba, Kenya mumeshapiteza hii
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
2,488
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
2,488 2,000
UN hao tayari wameshahama, sasa hivi 90% ya Mizigo ya Rwanda, 98% Burundi, 25% Uganda inapitia Tanzania. Hii ya UN pekee inaingiza pesa nyingi saba, Kenya mumeshapiteza hii

nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
601
Points
500
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2017
601 500
Umejitahidi kuchambua
Lkn umechambua kiwivu zaidi.
 
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
601
Points
500
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2017
601 500
Tanzania imeshawakamata mizigo ya Rwanda,Burundi,Congo,Zambia na Malawi, na bado tunaanza kuimega uganda na south Sudan taratiiib.

Kenya,zaidi ya mizigo ya Uganda na South Sudan
Kuna nchi gani nyingine inayopitisha mizigo kenya?

Wala bandari ya bagamoyo haiitajiki hii hii ya dar itawanyosha.

Lazima kenya wakae
 
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
1,585
Points
2,000
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2017
1,585 2,000

Population ya south Sudan na Uganda ni sawa na Rwanda,burundi,malawi na zambia combine?
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
3,041
Points
2,000
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
3,041 2,000
Yani kila nchi Jirani inajitenga na Serikali Tapeli ya Jubilee nikama vile wamejipaka vinyesi..Somalia, Tanzania, Rwanda,South sudan, Ethiopia hata uganda hawataki miradi ya pamoja na kenya..
Mjitafakari sana
Ata Congo wameshtuka, Uhuru alipeleka maneno ya uongo Felix akataka kuingizwa kichwa kichwa kwenye mradi wa SGR ya kichina. Sasa amejua mbivu na mbichi anakuja kwa kaka mkubwa
 
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
601
Points
500
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2017
601 500
Population ya south Sudan na Uganda ni sawa na Rwanda,burundi,malawi na zambia combine?
Current Population

South sudan. 12.58 mil
Uganda. 42.86 mil

Rwanda. 12.21 mil
Burundi. 10.86 mil
Malawi. 18.62 mil
Zambia. 17.69 mil
Congo. 81.34 mil

NB
South sudan na uganda tuna share.
 
M

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,849
Points
2,000
M

Msapere

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,849 2,000
Current Population

South sudan. 12.58 mil
Uganda. 42.86 mil

Rwanda. 12.21 mil
Burundi. 10.86 mil
Malawi. 18.62 mil
Zambia. 17.69 mil
Congo. 81.34 mil

NB
South sudan na uganda tuna share.
buda Rwandese,congolese and Burundians use Mombasa Port More than they use Dar
 
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
1,585
Points
2,000
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2017
1,585 2,000
Current Population

South sudan. 12.58 mil
Uganda. 42.86 mil

Rwanda. 12.21 mil
Burundi. 10.86 mil
Malawi. 18.62 mil
Zambia. 17.69 mil
Congo. 81.34 mil

NB
South sudan na uganda tuna share.
Eastern congo tena small part ,
Mzingo mingi ya congo hupitia Beira na Kinshasa...
Reason Dar port haina traffic ya maana ya mizigo
 
Forum statistics

Threads 1,304,900
Members 501,583
Posts 31,531,136
Top