Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 975
Muelimishe huyooo
Ova
Njoo nikuajiri mkuu, kama huna kazi?
Muelimishe huyooo
Ova
Iondoke tu mahakama zetu zinatoshaHii mahakama makao makuu yapo Arusha pale karibu na Makao makuu ya TANAPA. Kama Tanzania imeamua hivyo na wao wahamishe makao makuu wapeleke Nairobi. Hamna maana kukaa kwenye nchi ambayo haitambui mamlaka yako
HahahaNjoo nikuajiri mkuu, kama huna kazi?
Nitumie CV yako kwenye private message. Kumbe ni njaa tu inakusumbua.Hahaha
Nipe ajira mzee
Umenifurahisha sana
Vijana wa lumumba mna vituko
Ova
We huniwezi hata kidogoNitumie CV yako kwenye private message. Kumbe ni njaa tu inakusumbua.
Mahiga alisifiwa sana ooh mzee yule anaonekana ana busara sana sijui nini,haya sasa kazi kazi.
Watu wa chama kile wote wanafanana wanavyofikiria,wanavyotenda etc
We huniwezi hata kidogo
Mzee usinichukulie poa
Mm nna watu zaidi ya 30 nawalisha chaka huko
Wee tegemea vipesa vyako vya gawio toka lumumba hapo, budget yangu ya pombe tu kwa mwezi Yawezekana ndy mshahara wako
Ova
Uko sahihi sana. Mwekezaji alete mabilioni ya dola kwenye nchi isiyofuata sheria akijiamini kwa lipi? Stein anawatoa jasho. Kilangila.Kama nikweli ni official, investors wataanza kuogopa maana huwa wanaangalia security yao sana
Yeah ningumuUko sahihi sana. Mwekezaji alete mabilioni ya dola kwenye nchi isiyofuata sheria akijiamini kwa lipi? Stein anawatoa jasho. Kilangila.
Na mitaji piaNikweli mpo ila hamtoshi maana mnauhaba wa technologies
Yeah nikweli kabisaNa mitaji pia
Unafahamu kwa nini hilo deni linakua? Kwa hiyo hilo neno accumulation of wealth limekupagaza? Nani amejifungia ndani kwake? Unaongelea basic economy, nchi haitegemei basic economy kwenye shughuli zake, FYI GDP inakua (the highest in the region). Hilo hulioni umekalia porojo.
BTW tumia lugha sanifu, Kuwa na Kua ni maneno mawili tofauti.
soon utasikia na eac inavunjika, ilianza hivi hivi mara jiiiNilidhani ni utani kumbe ndiko tumnefika huku!?
Nilidharau sana uzi huu (Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea) lakini ngoja sasa nipitie na comments nipate undani!