Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Feb 9, 2017 #5 Nyie tulieni Mh Makonda akimaliza hili anahamia kwenye viwanda! Kutakuwa na viwanda kila kata.....!!!
Nyie tulieni Mh Makonda akimaliza hili anahamia kwenye viwanda! Kutakuwa na viwanda kila kata.....!!!
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Jun 15, 2013 9,413 6,452 Feb 9, 2017 #6 Tanzania ilimuhitaji Makonda kitambo....watu walijisahau sana kwa umagumashi.
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Jul 17, 2016 4,925 14,285 Feb 9, 2017 #8 Sio kwa Tanzania nayo ijua mimi tanzania yetu ni ya kiki na upuuzwaji wa mambo unaweza iita tanzakiki
Sio kwa Tanzania nayo ijua mimi tanzania yetu ni ya kiki na upuuzwaji wa mambo unaweza iita tanzakiki