Tanzania ya Viwanda is dead and dusted

Tanzania ya Viwanda is dead and dusted

Sasa hv tunapambana kwanza na wanaosema vibaya na kutukana ovyo. Kwa sababu sina mpango wa kuachia madaraka, ikifika 2027 ndo tutaanza viwanda.

Najua ikifika 2025 mtaanza maandamano ya kutaka niondoke madarakani, sasa 2 years later baada ya kuwanyamazisha, ndio tutaanza viwanda.

Nawapa taarifa mapema. Sitaachia madaraka. 2024 au 25 narekebisha katiba ya kuniruhusu kuendelea. Nimegundua nyie mnahitaji kunyoshwa, mmebembelezwa sana.

Ongeeni, ila not to that extent...!!!
 
hivi jaman wenzetu mna macho gani?hamuoni viwanda vya uzi na sindano nyie bhana khaaaaa!!!
hamuoni kairuki kafyatua????
jamani nyie wabaya!!!
 
Kuna kipindi nilikatiza maeneo ya Ubungo Mataa nikakuta wachina wamejipanga kweli kweli kutengeneza flyovers. Juzi kati nilifika tena Dar nikakuta pametulia kimya na hakuna lolote linaloendelea; what's wrong?
nasikia wafadhili wamejitoa .huwezi kutoa pesa kusapoti serikali ya mauaji.
 
Imebakia kwa Sizonje kurudia: (ongelea kwenye pua) "jamani niombeeni". Ameambulia maombi 75% yakimtaka A RIP.
Niombeeni...alivoambiwa ATUBU kwanza ili maombi yakubalike kwa Mungu akakimbilia kukagua sadaka kanisani!
 
Tatizo la kiongozi wa awamu hii anachonga sana majukwani kuliko uhalisia. Hebu ona hapa ;

1. Elimu bure kashindwa, bado kuna michango mingi tu. Itoacho serikali halitosis

2. Mikopo elimu ya juu, afadhali wakati wa kikwete, vijana wengi wameahirisha masomo kwa kukosa Mikopo.
3. Rushwa. Kwenye utawala wake kuna tuhuma za rushwa maksudi anazipuzia kwa vile zimefanywa na makada wa ccm. .myeti, ex uvccm chair
4. Ubaguzi, ukabila, upendeleo
5. Hebu ona. Kapiga marufuku ya wapinzani kufanya siasa. Underground wananunua wapinzani as a result inch inatumia fedha nyingi kwenye hizi chaguzi. Hizi sio siasa. ?
6. Kazuia live transmission ya bunge ili maovu yanayofanywa kwenye serikali yake yasijulikane Kwa umma
 
Back
Top Bottom