Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,389
Hata siamini mjue,
Mwijage is no where to be heard, Sizonje is at a loss..
Sasa ni kusumbua wafanyabiashara, kuwatisha na kuwanyang'anya mali na fedha zao...nyumba, mashamba, viwanja, magari nk.
Bombardier zimeyeyuka...elimu bure uongo mtupu, mimi kila mwezi nalipa michango inayozidi sh.25,000 kwa mwanangu anayesoma shule ya msingi ya umma...chakula sh.10,000/=; masomo ya ziada sh. 10,000/=; mlinzi sh. 2000/=; maji sh.3000/=
Vipaumbele sasa ni mateso yasiyomithilika kwa watu wenye mawazo mbadala...piga risasi Tundu Lissu, kill an innocent young University student Akwilina Aquiline halaf gharamikia mazishi yake na jifanye una huruma kupindukia...Kamata wabunge wa upinzani, wafungulie kesi za uongo na vifungo vya uongo tu..
I wonder how quickly the rulers have lost focus...
Tanzania ya viwanda is dead and dusted...God have mercy!