Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
😂😂Jamaa alikuwa hajielewi yule, fikiria aliwaambia JWTZ eti wakusanye korosho zote kisha wakazibangue kwenye viwanda vilivyokuwa ni magofu, ikishindikana watumie mabomu..
matokeo yake korosho zikaenda kumwagwa baharini huku wananchi kibao hawajalipwa fedha zao
Mkuu unawaamini hawa matapeli wanaoitwa CCM. Tanzania ya viwanda ilikufa na Nyerere. Hawa wengine ni mbweha walivaa ngozi ya kondoo.Watanzania Wenzangu naamini nyote MNAKUMBUKA Awamu ya 5 ilipoingia Madarakani ilijinasibu kuwa Inajenga UCHUMI wa VIWANDA na Mkakati ukawa Kila MKOA utenge Viwanja 100 kwa Ajili ya UJENZI wa VIWANDA.
Aliyekuwa WAZIRI wa TAMISEMI Alizunguka NCHI nzima kuhakikisha VIWANJA vinapimwa tayari kwa UJENZI na Rasmi NCHI ikatangazwa kuwa ni TANZANIA ya VIWANDA.
Kuanzia hapo Kadiri Siku zilipokuwa zinasonga mbele ndio KELELE za TANZANIA ya VIWANDA zikawa zinapungua na kwisha kabisa.
Najiuliza je ni VIWANDA vingapi vimejengwa mpaka sasa kwa MIKOA yote? Ni Vema SERIKALI kama haijakamilisha basi ikamilishe ili AJIRA kwa VIJANA wetu zipatikane.
Ilienda na mwenda zake sasahivi ni Tz ya walamba asali..ni mwendo wa kujipigia tu shamba la bibi.Legacy ya viwanda Ilikufa alivyokufa yule bwana.
Ili uamn kuwa huyu sa[emoji817] hakuingia madarakan kwa bahat mbaya, bali ni long plan iliyosukwa na ikatimia, ni pale mazaenu alipokuwaa akitamka wazi wazi tena mapema sana mambo ambayo mkuu wake aliyapinga wakiwa pamoja hakuwai onesha kutofautiana, sasa hio tofaut na mabadiriko ya ghafra ilitokea vipi?
Baada ya msiba wa yule jamaa haikupita week ktk kikao akaongelea habari za kurudisha mahusiano ya nchi na mataifa kwa mawazo yake kuwa ichi imejitenga kama kisiwa pia kuunda kamati ya covid19 na mengine mengi within the short time, hapo haimake sense hata msiba haujakwisha mtu umeshafikiria mambo ambayo kama kiongoz mpya tena wa ghafra hakupaswa kuyafanya ghafra vile, except alishakuwa na plan zake mezan zikisubiri kufanyiwa kazi.
Huyu maza enu msipokuwa makini mtajuta sana,.2025 inaweza kuwa mwaka wa hovyo kwa upinzan na kwaTz kiujumla maana nao wamepoteza ushawishi ktk jamii mybe utokee muujiza wa huyu nae ku.....naishia hapa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]