Tanzania ya 28 kwa umasikini duniani

Tanzania ya 28 kwa umasikini duniani

Zingatia itifaki za relative poverty against absolute poverty.
Unadhani maasai anakosa chakula kipi ambacho unamtaka ale ili useme yeye sio maskini?
Akikaa kwa tembe au nyumba yake ya asili ndo umwitemaskini kwa kuwa mzungu anataka yenye tiles / ghorofa?
Unadhani maasai akivaa ile nguo yake huwa unadhani anaonea wivu suti ya mmagharibi ukamhitimisha ni maskin?
Mtu mwenye wanyama and yupo proud kuwaona unadhani ni maskini wa furaha?
We are poor in some aspect but we should re- state the indicators , je zipo sahihi kwa mazingira yetu?
Kwa kutumia indicators za western itachukua zaidi ya miaka 200 kuifikia western civilisation ambayo ndo tunajitunisha nayo msuli..
Watasema upo among the rich countries siku ambayo wamewekeza more 50% of your resources na wao wananufaika huku wewe wanakufanya 'slave of the system'
Kumbe JF GTs mpo, hivi elimu zetu ndo za hivi vyeti mbona hili jambo liko open saaaana, kwanini wengi hawalioni? Tukibadilisha tu tafasiri ya mambo mengi, ili iendane na uhalisia wetu, kamwe hatutajiita tena masikini, labda wao ndo watuite huku wenyewe tukiwacheka, tutabakiwa na jukumu moja tu, mazingira yanabadilika, kila kitu zibadilike kuendana nayo si kuendana na mazingira ya wengine.

Mi nimemuelewa sana mkuu! Na huu ndo uhalisia wenyewe. Unajua labda watu hawajui kuwa hizo indicators, watu wamekaa wakazibuni, tena kwa minajili ya mazingira yao tu. Zipo kwenye yale makubaliano ya kiuchumi na kijamii nadhani.
 
Unajua humu watu wapo kishabiki bila kujua leo mzungu atasifia Upo vizuri katika nyanja flani ila kesho akiona unampinga au kutoendana na Sera zake ata Ku rank wa mwisho ili wananchi wapate shinikizo kwa utawala.
Kuna watu humu katika hii thread wanamlaumu Raisi, yes wanaweza kuwa sawa kwa maoni yao.
Lakini hata kama angekuwa Rais huyo wanaemfikiria mioyoni kama Mh Hashim Rungwe, je kwa kutumia western indicators of development tutazifikia lini?
Nakumbuka Rais Kikwete tulipata tuzo ya moja ya malengo ya millennia (MDGs) moja katika Huduma mojjawapo ya jamii, lakini je hiyo tuzo tunaweza kuirank kuwa tupo sawa na jamii za mataifa ya kigeni hata tu Algeria au Morroco?
Watu wanacomment bila kujua uhalisia wa vipimo na jamii zetu, nchi karibia zote zenye waafrika wengi zitaendelea kuwa ranked hivihivi ili waweze kuja kukupa aid, grants , loans, expert exchange programme, n.k ilimradi tu wakupe maendeleo feki kwa manufaa yao ili mwisho wa siku vyombo vyao vikupatie rank flani either good/ bad.
Tusicheze na maendeleo ya whites na kujipima na jamii zetu za wakulima na wafugaji/ wawindaji, mtakosa furaha kila siku na kusononeka huku huyo wanaemrank anakula ugali dona maziwa na kucheza unyago mabinti na hana habari na rank izo.
 
Hawakuewi hawa sijui wana nini? Yaani huwa najiuliza, hivi watu kama hawa haswa wakenya ambao wamehathirika sana na maradhi haya ya kifkra, "huwa wanamisi kuna siku, kupitia kiongozi ya kiuchumi, kisiasa na kijamii watazifikia nchi hizo na ndio lengo la nchi hizo kwetu? Huwa najiuliza, hivi kwanini hawajiulizi kwanini sera kama za hayati mwalimu wamezipinga au wanamisi wanatupenda sana hivyo zile sera zilikuwa mbaya kwetu?

Dunia hii ina mambo kweli, nadhani kuna viumbe vina uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko binadamu haswa sisi waafrika. We kama sera za Nyerere zingekuwa ni mbovu nao wana upendo nasi kwanini walilinajisi zao la katani na kahawa yetu wamlostishe? Nimekukubali Mkuu.
 
Hizi mada za Tanzania imekuwa ya .....Uhuru wa habari... Furaha.....Rushwa.....umaskini.....haki za binadamu ....huwa mda mwingine sichangii kwa kuwa watu huchangia wasichokijua na kwa ushabiki wenye vinasaba vya Ki CCM vs UKAWA..ukicomment nje ya hayo makundi hawakutambui kuwa Upo huru kimtizamo...Tutafika tu ila kwa mfumo wetu wa elimu japo ni wa Ki magharibi tunatakiwa tuufundishe vizuri kwa kizazi hiki kwa kuzingatia hali halisi ya jamii zetu..Ahsante
 
Sikubaliani na vipimo vyao, utajiri wa Rasilimali tulionao unatosha kutufanya tuwe tajiri namba moja duniani. Tatizo wao wanaangalia financial economy
 
Hizi mada za Tanzania imekuwa ya .....Uhuru wa habari... Furaha.....Rushwa.....umaskini.....haki za binadamu ....huwa mda mwingine sichangii kwa kuwa watu huchangia wasichokijua na kwa ushabiki wenye vinasaba vya Ki CCM vs UKAWA..ukicomment nje ya hayo makundi hawakutambui kuwa Upo huru kimtizamo...Tutafika tu ila kwa mfumo wetu wa elimu japo ni wa Ki magharibi tunatakiwa tuufundishe vizuri kwa kizazi hiki kwa kuzingatia hali halisi ya jamii zetu..Ahsante
Mara nyingi huwa nawaambia kuwa Tanzania haijafawanyika mara 2 ccm na ikawa wao tu, na inawezekana na ndio ukweli ulivyo, hilo kundi lingine ni kubwa kuliko haya ya vyama vyao.

Ndio maana huwa namshangaa Mbowe na Lisu wake ajiitaye msomi wa sheria, kwanini wanachofikiri wao ktk vyama vyao wanadhani wanawafikiria watanzania wote? Mfano, leo hii kwa Tanganyika namaanisha bara, ukiwauliza je wanahitaji muungano wa serikali ngapi kati ya 1, 2 au 3? Unadhani wengi watauchagua upi hapo? Hakuna upofu, watachagua moja tu, fanyeni utafiti muone.

Hizo tatu kwa bara ni baada ya kuhisi kunyanyasika na kuona kwanini Zanzibar kuna serikali? Kipi walichotaka hapo, Zanzibar kusiwe na serikali. Cdm wanadhani wanaweza mawazo ya watanzania, ndo kosa lao hata kwenye chaguzi zote, CDM inadhani inapendwa nchi nzima na wote, wakati wapo wanadhani ni cha kikanda au kidini, na wenyewe hata hawana mbinu za kujinasua.
 
Back
Top Bottom