theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
yaani ka mlimani city tu??? wakati ukienda USA unakuta hizo mlimani city zaidi ya million
Hiyo ardhi inakusaidiaje kama haupati mlo kamili au maji safi bila kusahau elimu na afya bora?Umaskini au utajiri ni perception yao na mtizamo wao. Hawajui jamii nyingi, hasa za kiafrika utajiri si kuwa na majumba marefu ya maghorofa na kuwa na pesa nyingi, bali ni umiliki wa mifugo na ardhi hata kama ni pori
Kama una ardhi na vyote hivyo huvipati, umasikini wako hapo sasa hautakuwepo ktk kipato bali akili tu ya kujitambua, na ndio jukumu letu nambari moja sisi tuliojitambua japo kidogo kuwaelimisha wenzetu ktk hilo, mambo kama maji safi, umeme, ni mobile ktk dunia ya leo.Hiyo ardhi inakusaidiaje kama haupati mlo kamili au maji safi bila kusahau elimu na afya bora?
Sijui ulichokimaanisha, nadhani ni ileile kasumba ya tafasiri ya mambo tunayolazimishwa kuisadiki. Mi naona Dar ndo kuna maisha mengi ya kimasikini kuliko vijijini. Vijijini watu watu wanaishi kwa furaha zaidi kuliko misongo ya mawazo inayowakumba waishio Dar. Wanajifariji tu, hakuna kuishi Dar, hata hapo Dar waliojitambua na kuitambua tafasiri haswa ya kuishi wako nje ya mji, tembelea gogoni au pia panaitwa kiluvya kwa Kawawa.
Tanzania ni ya 28/kwa umasikini wa Nini..?
Umasikini wa mali au umasikini wa fikra..?
Umasikini wa kipato au umasikini wa njaa..?
Ahahaha.....!! Na siku zote wabongo ni watu wa kutafuta consolation kwa kuangalia wenzao ambao wako mahututi zaidi yao.KUMBE KUNA WANYONGE WETU 27 TUMEWAPITA.....TUKO VIZURI
Hebu elezea vzr. Khaaa tumejitahidi sana. Ni kazi nzuri ya CCM. Chini ya mweyekitu mh. Jpm. Wapinzani mtakoma.View attachment 502348 Nimekutana nayo hii hivi ina maana hawa jamaa hawajaona MLIMANI CITY
https://country-facts.findthedata.c...in&utm_campaign=i3.cm.ob.dt.11256#88-Tanzania
Sote tunaelewana, tofauti ni tofauti za ideologies tu. Ndo maana mi nakazania, ni swala la tafasiri. Tunaiishi hiyo tafasiri vichwani mwetu. Binafsi sizipendi na naiona si tafsiri sahihi kuiishi.Nahisi nimeandika kwa lugha isiyoelezea nini namaanisha, sishangazwi kwakuwa umeelewa na umetoa maoni yako. Furaha na umaskini ni vitu viwili tofauti umaskini ni umaskini na furaha ni furaha. Happiness and poverty are two different things. Kuishi kwa furaha hakuondoi umaskini. Kama hoja yako umeijengea kwenye furaha si sawa. Vijijini miundo mbinu mingi hakuna na liveability hakuna hii inapelekea maskini wengi kukimbilia mijini hasa Dar es Salaam ambako kunamaboresho yamefanyika. Sasa embu jifikirie... utaelewa nilimaanisha nini
Na kama kuna uwezekano wa kutenganishwa kwa umasikini na furaha, umasikini si tatizo, si adui wala tusipoteze muda na mali na nguvu kushindana nao haina athari ktk yale yaliyo ya msingi, ktk maisha FURAHA ndiyo Tundu kubwa kuliko, mengine yote ni porojo.Nahisi nimeandika kwa lugha isiyoelezea nini namaanisha, sishangazwi kwakuwa umeelewa na umetoa maoni yako. Furaha na umaskini ni vitu viwili tofauti umaskini ni umaskini na furaha ni furaha. Happiness and poverty are two different things. Kuishi kwa furaha hakuondoi umaskini. Kama hoja yako umeijengea kwenye furaha si sawa. Vijijini miundo mbinu mingi hakuna na liveability hakuna hii inapelekea maskini wengi kukimbilia mijini hasa Dar es Salaam ambako kunamaboresho yamefanyika. Sasa embu jifikirie... utaelewa nilimaanisha nini
....Maneno miingi lakini sijaona justification kupinga kwamba TZ siyo masikini.Viwango na vipimo vinavyotumika na hao wa magharibi kupimia huo utajiri na umasikini wa nchi tunavijua? Kwa vipimo vyao si haba, tunaweza hata kuwa wa mwisho duniani. Ila niwakumbushe tu, Botswana ni nchi masikini wakati India ni tajiri. Tz tungepata akina Dangote watano tu, na mengine yote yabaki hivihivi, tungepanda viwango hivyo, na hivyo ndivyo vipimo vyao vikuu.
Wakikutajia elimu, afya, chakula, makazi, mavazi, furaha, nk wao watakusetia viweje viwe hata vipimike, eti mmasai ni maskini kwakuwa nyumba yake ni ya miti kaezeka nyasi, hapa hata awe na ng'ombe 2000, sawa.
Ningepingaje sasa? Tafasiri imetupeleka huko, mi kukipinga kwa vipimo hivyo si nitakuwa kichaa sasa ndugu? Mimi hapa najiona masikini wa kutupwa kwakuwa sina gari, sina nyumba zile, akaunti inasoma zero mara nyingi.....Maneno miingi lakini sijaona justification kupinga kwamba TZ siyo masikini.
Zingatia itifaki za relative poverty against absolute poverty.Ukishakuwa na mifugo mingi, ardhi kubwa, then unashindwa kuafford your basic needs huo ni umaskini
Umaskini unapimwa kwa kipato chako unaingiza na vp unaweza mudu mahitaji yako
Na dreamlinerWALIOTOA HIYO REKODI WANATUONEA WIVU TU MBONA.NILISIKIA UCHUMI WETU UNAKUWA KWA KASI YA TRENI YA UMEME