TANZANIA WON WORLD TRAVEL DESTINATION AWARD 2023

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,319
24,219
15 December 2023
Dubai’s Burj Al Arab,
Dubai UAE

WORLD TRAVEL AWARDS GRAND FINAL GALA CEREMONY 2023

Tanzania won a World Travel Destination award for year 2023.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ERo7tdSy2iE
Tanzania minister for livestock and fisheries Hon. Abdallah Ulega was very happy to receive the trophy and said we deserve it, adding that Tanzania is a very stable country, friendly ecologically, easy to reach because of its geographical location and have sustainable policies for conserving nature.

TANZANIA YAIBUKA KIDEDEA KAMA KIVUTIO KIKUBWA KWA SAFARI ZA KITALII

Waziri wa Mifugo na Uvuvi wa Tanzania Mhe. Abdallah Ulega afurahia kupokea tunzo hilo na kusema tunastahili na kuongeza kuwa Tanzania ni nchi tulivu, rafiki wa ikolojia, rahisi kufikiwa kwa sababu ya eneo lake la kijiografia na ina sera endelevu za kuhifadhi mazingira.

Tuzo hiyo imefanyika Dubai Falme za Kiarabu UAE ambapo wadau wa sekta za kitalii toka nchi mbalimbali ulimwenguni walifika kushuhudia shughuli hiyo kuwatambua waliofanya vizuri kwa mwaka 2023 na kisiwa cha Thanda katika bahari ya Hindi Tanzania kutajwa kama kisiwa cha utalii bora kwa wanaopenda utulivu pia Hifadhi ya Ngorongoro


View: https://m.youtube.com/watch?v=uocAtSZjQ8E

Wadau wa sekta ya utalii pamoja na Royal Tour wanaendelea kuinadi na kuboresha sekta ya utalii Tanzania kimataifa, na matunda yake yanajionesha kwa idadi inayoongeza ya watalii pia tuzo za kutambua makubwa.
Source : World Travel Awards 2023 Grand Final: every winner revealed
 
Back
Top Bottom