"Tanzania will mine Uranium at Game Reserve," says Maige

Nimesoma kwanza ktk Twitter nikashtuka, nikaingia kusaka habari zaidi..ndio hiyo...Bofya
Je, ni jambo zuri kuchimba Uranium toka mbuga za wanyama ya Selous.. Je kuna usalama kwa hao wanyama na binadamu! nimeona mradi kama huu kule Kongo DRC ambao ulitengeneza bomu la nuklia lilopiga Japan, leo hii sehemu imebakia magofu matupu ambayo binadamu hawaishi karibu wala kuruhusiwa kupita.
 
Haya mambo ya kimangungo yataisha lini?! Ebu ona...

"Firms could expect to earn $200m (£125m) each year from mining uranium from the site, of which $5m would be paid to the government, he said (Minister Maige)".

All that trouble for $5m out $200m?!?!?!?
 
Mkuu ndio uwezo wa watalaamu wetu wa kujadili mikataba!
 
Haya mambo ya kimangungo yataisha lini?! Ebu ona...

"Firms could expect to earn $200m (£125m) each year from mining uranium from the site, of which $5m would be paid to the government, he said (Minister Maige)".

All that trouble for $5m out $200m?!?!?!?

Mkuu hata mi imenistua nikafikiri kakosea data! By the way Maige anamalizia msimu huu na 2015 hatokuwepo. Anajilimbikizia vichenge
 
Inasikitisha. Wenzetu Ghana tayari ni middle income country kwa sababu hawagawi maliasili zao bure. Sisi tunaendelea kupiga kwata.
 
Back
Top Bottom