Tanzania wasindikizaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania wasindikizaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chuchunge, Nov 6, 2011.

 1. chuchunge

  chuchunge Senior Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 131
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kama kawaida yetu tumesindikiza Miss World kwa kutolewa mapema,even kipengele cha beauty with purpose tumeshindwa while tuna matatizo mengi ya kijamii,ghana amefanya vizuri kwa kuelezea matatizo ya watoto yatima.
   
 2. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamezidi lakini, wamempa msauzi kuua so ili kuwe na mwafrika hata mmoja. Ila mbongo mi nimeona ni mzuri kuzidi msauzi na wafrika wengine.
   
 3. chuchunge

  chuchunge Senior Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 131
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Sio uzuri tu unaangaliwa mamushka,kujiamini,ubunifu,uzuri wako utautumiaje kutouch maisha ya watu wengine pia wenye shida?in general kuthink BIG!
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  haya arudi tu nyumba nae aanze kubadilisha waume ka KAVIRONDO mwenzie
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Did you expect any miracles? Huko hakuna kukariri majibu. Lazima uwe na elimu ya kutosha, ujue kujieleza na kuwa na exposure pana.
   
 6. chuchunge

  chuchunge Senior Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 131
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  i didnt expect any miracle Ruge,nililiona mapeeema!hata mkenya Cecilia ametushinda kwa kufanya campaign ya jiggers!
   
Loading...