Tanzania wacha kujitenga na kulauma wengine pasipo sababu

Tanzania wacha kujitenga na kulauma wengine pasipo sababu

Status
Not open for further replies.
Hii "ubaguzi" ambayo umetaja ni yakujitakia yaani mko na complexity mingi which is not good for Moving together.In any association there must be compromise and sacrifice from all sides!

Tanzania haina complexity, we want things to move step by step.
 
Hii "ubaguzi" ambayo umetaja ni yakujitakia yaani mko na complexity mingi which is not good for Moving together.In any association there must be compromise and sacrifice from all sides!

Kenyata is not willing to sacrifice anything and is running his country like a shop that wants all other shops in the neighborhood to close!
 
By the way we don't need you! We are moving on!Seems you are the kind of blaming others for your problems.Mukae huko kwenyu hata mujenge ukuta sisi tutasonga mbele

Tanzania ikijenga ukuta Kenya will cry for ages! We are in top 5 for your exports, Your tourism depends on Tanzania, Our Tanzanite is building Nairobi...long list...up to our flowers you brand as Kenyan.

Al-shabaab hatuwapendi, ila jeshi la kenya lituaibisha waafrica kwa waliyofanya Wastegate
 
Wale Munaonge ju ya Alshaabab na kufurahia muko na akili ndogo sana!Kwani munafikiri janga hili haiwezi kuwapata nyinyi?Muachache porojo na upumbavu huko!Sio ati Tanzania iko tajijiri hivyo ndio muringe kama nyinyi ni America.In any case unemployment level yenyu ni ngapi? Are you not just Africans dealing with poverty and witchcraft?Hio insecurity na uncompetitiveness muko nayo ndio munajifungia kwa nyumba mwaogopa watu wengine!
Mkuu hapo unakosea, na kusema kweli Watanzania wakisema mko arrogant by default utawalahumu? Hebu jaribu ku-revisit your comments kuhusu Taifa letu - what does that tell you, unawezaje kuwa na guts za kuita watu ambao huwafahamu vizuri kwamba ni wapumbavu repeat "WAPUMBAVU" - are you mentally SOUND? Eti tuna tatizo la insecurity na uncompetitiveness ndio maana tunajifungia ndani! Unachekesha sana kama wakina "MASAKU" hivi ujui kwamba Tanzania ni member wa SADCC yenye nchi lukuki kuliko EA, sasa suala la kujifungia ndani linatoka wapi? Tatizo lako huna hoja zenye mshiko na unaonekana wazi wazi kwamba you have just run out reasoning capacity ndio maana unasema lolote linalo cross your skewed mind mpaka unafikia hatua ya kutamka kwamba raia wa Tanzania ni WAPUMBAVU, wapumbavu ni nyinyi mnao uuana ovyo kama kuku mpaka mnasubiri Tanzania (Unao waita wapumbavu) ndio waje kuwasuruhisha au umesahau kwamba bila ya Mh. Jakaya Kikwete kutumia busara zake si mngemalizana kwa kuchinjana, miaka kama miwili hivi iliyopita mgekufa njaa kama si Tanzania kuokoa jahazi i.e kuwapeni mahindi au na hilo umesahau - baadhi yenu specifically wewe tatizo lenu ni majivuno ya kijinga mko radhi kufa na tai shingoni just to prove a point!! Ni mara chache mimi kutumia lugha kali nimefikia hatua ya ku-resort hapo kutokana na maneno yako ambayo hayana ustaarabu hata kidogo, kwa machache niliyo sema humu sina shaka utajifunza kwa nini Watanzania walio wengi hawataki kabisa kushirikiana na watu wenye hulka kama za walio wengi wenu. , unawezaje
 
Wale Munaonge ju ya Alshaabab na kufurahia muko na akili ndogo sana!Kwani munafikiri janga hili haiwezi kuwapata nyinyi?Muachache porojo na upumbavu huko!Sio ati Tanzania iko tajijiri hivyo ndio muringe kama nyinyi ni America.In any case unemployment level yenyu ni ngapi? Are you not just Africans dealing with poverty and witchcraft?Hio insecurity na uncompetitiveness muko nayo ndio munajifungia kwa nyumba mwaogopa watu wengine!
Hivi kuna wapumbavu kama nyie wakenya, hawa kina Ruto, Uhuru, wamepelekwa ICC kwa nini kama siyo upumbavu.

Kenya mnachinjana ovyo mnaua watu Makanisani, Tanzania hakuna upumbavu kama huu.
 
Hivi kuna wapumbavu kama nyie wakenya, hawa kina Ruto, Uhuru, wamepelekwa ICC kwa nini kama siyo upumbavu.

Kenya mnachinjana ovyo mnaua watu Makanisani, Tanzania hakuna upumbavu kama huu.

Aisee umesahau ugomvi wa nani aruhusiwe kuchinja. Pia uchumaji wa makanisa na uuaji wa mapadri. Tofauti wakenya wanaukabila wakati bongo kuna udini.
 
niliwahi kusema humu jamvin kuwa kama ulishawahi kukaa na hawa watu wa kenya basi hutashangaa mleta thread aiseee ni wabaguzi sanaaa roho mbaya,katili so tanzania haiko hivyo
 
Tukueleweshe kama nani? Maadamu sisi watanzania wenyewe tunaelewa tunachotaka, wewe uelewe usielewe si kitu cha maana.Umoja ni nguvu ukiwa unahusisha wanyama au ndege wa aina moja lakini ukisema umoja wa mwewe na kifaranga cha kuku ni nguvu hapo si kweli.

Ndugu zangu watz; Huyu bwana mleta maada inawezekana hafahamu chochote kuhusiana na kutengwa kwetu. Tusimkejeli yeye na kiswahili chake na wala tusioneshe ujivuni. Tujitahidi kumpa elimu, siyo ajabu hata mbunge wake hakushirikishwa katika kututenga watz.
 
Ndugu yangu niko tayari kurekebishwa mahali nimekosa kwani hiyo ndio hekima. Hata hivyo Ukiona yale Alshabaab walitenda kenya yaani Kuua watu ovyo kama wanyama! hata watoto wadogo na kuchonga vidole zao kama pencil halafu mtu analeta mzaa kwa jambo kama hiyo it makes me very mad! yaani yeye ni worse kushinda mpumpavu.Yes kuna chuki fulani WaTZ Mko nayo kwa Wakenya lakini haifa kufika hapo jameni.Kutoelewana kwa mawazo haimanishi kuwa maadui kiwango hicho!
 
Nyinyi Mko na ile ya Ndani sisi kama hatukupendi tutakonyesha Ni nani worse?
 
Si wakati huo mulifunga Border zenyu ati tusinunue Mahindi Kwenyu tulikufa?Nyiyi sio watu ya kutegemea Sikia Ndugu yangu mumetukashifu na kutulaumu kila wakati mpka tumechoka na sio Kenya pekee yake kuna Uganda,Burundi na Rwanda.Ngoja untajionea mwenyewe.Get you facts right you were not even top ten tourists destination in Africa 2012.Morocco number one Then South Africa.Kenya is No. 6 follwed by Tanzania.Ubaya wakuto tembea you overestimate you importance!
 
Si wakati huo mulifunga Border zenyu ati tusinunue Mahindi Kwenyu tulikufa?Nyiyi sio watu ya kutegemea

Biashara ya kuwauzia mahindi tulkikataa sababu ya uhuni wenu.Tulikuwa tunawauzia mahindi tukitegemea wenzetu mna njaa mtaenda kulisha watu wenu kule juu kenya walikokuwa wamekubwa na njaa.Tukawa tunawauzia kwa bei ya chini tukijua tunasaidia ndugu zetu kumbe hakuna.Mkawa mahindi yetu badala ya kupelekea wenye njaa mkawa mnaliuzia shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa la UNHCR kwa dola za kuruka ambalo lilikuwa linawalisha wakimbizi wenu wa ndani ya Kenya.Yaani hata huruma kwa watu wenu wenyewe hamna.Tukaona ujinga tusiwauzie.Ninyi ndio si wa kutegemea.Wakenya manyang`au.Na hao wakenya waliokuwa UNHCR kwa nini wasingenunua mahindi moja kwa moja kwa dola Tanzania? Usiache tuanike mambo hapa we have your dirty files.
 
I get you my Brother! hiyo ni false Propaganda!We may be corrupt but we are also a country of laws.Kile unaongea si kweli na pia sitakulaumu kabisa. nikama you have been fed with very wrong infromation with the aim of making you hate Kenya.Hiyo sio kenya mimi najua.Ni vile Wazungu huko ulaya wavyo fikiria juu ya Africa tofauti sana vile wewe unajua.At least you made me understand
 
Hiyo ni upumbavu ya wale wakoloni.Just watch the circus continuing at the ICC.Even a Kanagroo court is better!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom