Tanzania wacha kujitenga na kulauma wengine pasipo sababu

Tanzania wacha kujitenga na kulauma wengine pasipo sababu

Status
Not open for further replies.
Nimesoma baada ya comments katika hii forum na imenilazimu niseme yafuatayo:-
Umoja ni Nguvu-i still dont understand the exploitation Tanzanians keep talking about Kenya Kuna Mtu ako na facts anieleze polepole nikaelewa?Ikiwa mko madungu wanne na Moja kila wakati anataka kujitenga nakufuata njia yake si ni yeye anashida wala sio hao mandungu wengine? East Africans are slowly getting fed up with your constact complains about others with no basis.Kwani wakenya au Waganda wana nini yenye hamuna kwamba wakawaexploit?

acha kujisingizia ujinga, hivi ni nani ataenda kuungana bila kulinda maslahi yake?, kama maslahi yetu yatakuwa hatarini nyie endeleeni sie hatuji, kwani mwanzo jumuia si ilianza na nchi 3 na sasa mkitutoa mtabaki nchi nne nayo ni maendeleo songeni mbele
 
You guys don't get it. What you are doing is like when your girlfriend keep asking you when are you going to merry her. The more she asks the more she irritates you and the more you don't trust her. The worst part is if you have a few property and she is always thinking she is smart and she like running the show. If you are a guy will be saying this in your mind. " f--k this bitch"
 
Wale Munaonge ju ya Alshaabab na kufurahia muko na akili ndogo sana!Kwani munafikiri janga hili haiwezi kuwapata nyinyi?Muachache porojo na upumbavu huko!Sio ati Tanzania iko tajijiri hivyo ndio muringe kama nyinyi ni America.In any case unemployment level yenyu ni ngapi? Are you not just Africans dealing with poverty and witchcraft?Hio insecurity na uncompetitiveness muko nayo ndio munajifungia kwa nyumba mwaogopa watu wengine!
Kuhusu suala la al-shabaab na kenya kwa yeyote mfuatiliaji wa habari hawez akakosa majibu ya kwanin usalama wa kenya uwe mashakani kwa sababu ya uhusiano wa fitina kati ya kenya na wasomali ambao ndio waasi wa al-shabaab,kwa mtu yeyote ambaye ni muelewa lazima uangalie usalama wa jiran yako kabla ya kumfanya rafiki,upoo!!!
 
Sisi hatuogopi competition kama nyinyi mradi it is fair competition.Nyang'au ni wewe!
Mkuu,hata sisi hatuogopi competition ila tunaogopa kushindana na mtu ambaye hayupo salama katika mwenendo wake wa mashindano kwa mfano,uganda nchi ambayo mfumo wake wa mambo ni wa kibabe kupita maelezo,kenya, watu wake wabinafsi na wakabila kupita maelezo,rwanda,watu wake ni wakorofi,majambaz na wahamiaji haramu,je kwa akili yako ya kuzaliwa unaona kuna uwezekano wa kuwa na fair competition hapa,majibu tafadhali!!
 
Ndungu utaniruhusu kidogo nichanganye lugha kwani sijazoe kuandika na Kiswahili
1)The way things are no one country can shut up itself and think the insecurity of other countries cannot affect it. Good case is the refugee probleem from Burundi and Rwanda.Even the insecurity and terrorism currently faced in Kenya is because of hosting refugees in their countries.My point is security challenges are best dealt using Multi national Approach
2)Sio ati Tanzania ni tofauti ni kwamba you got a good founding president In the name of Nyerere who set good standsrds of leadership.Now you have the past to refer to as opposed to other countries. This does not mean that other countries are bad they have the same problems you are facing.Infact we share common problems and intersts than what divides us
3)Let no one lie to you you have your own problems such as Zanzibar but one day these problems may boil over.You should never run away from the problems your brother is facing.Leo ni mimi kesho ni wewe.Yes Kenya Rwanda and Uganda have their problems but they are progressing even faster that Tanzania
Mkuu what u'have said about the impact of the founder's of our states and the current situation that they have a kind of relationship and problems is true but always think about u're national probles first,solve them and then u'll be in a better position to think about joining u're neighbour and his or her problems,upooo!!!!
 
Ni nini yakusherekea Alshabab sasa?Kwani unafikiria nyinyi hamuezi pata janga kama hii?Kama hii ndio roho yenyu chafu mukae huko.bure kabisa!
Kiukweli kabisa mkuu sio vema kabisa na siyo hekima kushangilia majanga coz hujafa hujaumbika"leo kwangu kesho kwako" so msamehe bure ambaye ameshabikia maasi na majanga yanayo sababishwa na al-shabaab
 
Ni afadhali mulete kwa meza yale mambo ambayo ni muhimu kwenu
Wazo ni zuri na lakizalendo kwa ustawi wa jumuia ya africa mashariki na watu wake lakini si zuri kwa mikakati na mipango ya kibaguzi ambayo tayari imeshafanywa na kagame,kenyata na museven,upoooo!!!!
 
Kwani kiswahili ni lugha yako?Wacha kujigamba kwa kitu sio chako or you have nothing else to be proud of?Without other countrires talking Kiswahili do you think it will be significant.Think Global my friend!
Mkuu,hapa point siyo kiswahili,the issue is EAC is still face with a big linguistic problem something which is taken and considered as simple by our f.o.o.l.i.s.h politicians as if that federation is for them while is for people for example in Tanzania ,majority of people are completely not comfortable with English and French while kenyan's are comfortabe,kenya,majority of u u're not interested in kiswahili while Tanzanian are Ok,so these are big challenges which are viewed with mypic eye by our politicians,upooo!!!!
 
acha kujisingizia ujinga, hivi ni nani ataenda kuungana bila kulinda maslahi yake?, kama maslahi yetu yatakuwa hatarini nyie endeleeni sie hatuji, kwani mwanzo jumuia si ilianza na nchi 3 na sasa mkitutoa mtabaki nchi nne nayo ni maendeleo songeni mbele

Why do kenya, rwanda n uganda need tanzania in eac political federation? Hizi nchi zote zinataka kutumia eac kutimiza interest zake za kiuchumi, tanzania ndio maana imekataa baadhi ya mambo for the interests of its citizens mf(a) issue ya ardhi kuwa ya pamoja ni issue ambayo tanzania haitaki and we will strongly oppose on that, kenya,rwanda na uganda wana matatizo makubwa ya ardhi wanataka kutumia eac kuja kupora ardhi ya tz(b)issue ya common vise for tourists - ni issue pia tanzania haitaki coz ndio nchi yenye vivutio vingi in eac kuliko nchi nyingine so kukubali agenda hii ni kujiua kiuchumi
 
Nimesoma baada ya comments katika hii forum na imenilazimu niseme yafuatayo:-
Umoja ni Nguvu-i still dont understand the exploitation Tanzanians keep talking about Kenya Kuna Mtu ako na facts anieleze polepole nikaelewa?Ikiwa mko madungu wanne na Moja kila wakati anataka kujitenga nakufuata njia yake si ni yeye anashida wala sio hao mandungu wengine? East Africans are slowly getting fed up with your constact complains about others with no basis.Kwani wakenya au Waganda wana nini yenye hamuna kwamba wakawaexploit?

Inakuaje viongozi wanakimbiza haraka haraka hii issue ya politicala federation? Wananchi lazma ndio tuwe na say on this issue ya eac, kwa mwendo huu wa nchi jirani zetu zinavyotaka twende watanzania wengi hawapendi eac ni bora sadc kutokana na sababu zifuatazo (I) political. Most of sadc states are in democratic states(ii) kuna usalama zaidi ki biashara no alsahabab (iii)nchi nyingi za sadc tanzania imeshiriki ktk kuzikomboa kutoka kwenye ukoloni in that fact ina mahusiano mazuri nazo kuliko eac yenye manyangau na ma dictator
 
Why don't u take Eritrea and Somali?? Why us?? Hatupo tayari, EAC is not soooo important to us. Ninyi mnaoona it's so important just carry on!!
We wish you all the best neighbors!!
 
No problem safe Journey we are Moving on! We are the Coalition of the willing
 
By the way we don't need you! We are moving on!Seems you are the kind of blaming others for your problems.Mukae huko kwenyu hata mujenge ukuta sisi tutasonga mbele
 
Mushinde na hiyo uchoyo na mashamba zenu!Hatutamani hiyo nchi ya watu kulialia kila wakati go south we will move on
 
I disagree on Kenya and Kiswahili.That is our national Language.We may not be as fluent as Tanzanians but no citizen does not speak and understand kiswahili in Kenya!For your information Kiswahili is more spoken than English in Kenya.As for Rwanda and Uganda it is a matter of time before they adopt Kiswahili as their National Language
 
Hii "ubaguzi" ambayo umetaja ni yakujitakia yaani mko na complexity mingi which is not good for Moving together.In any association there must be compromise and sacrifice from all sides!
 
We want people who are Black like us!We have incorporated South Sudan and we now intend to focus on building the nations of the Member state for the Benefit of all the citizens of our countries.We shall move without you.We know you want us to fail but your selfishness and resentment is even motivating us more
 
Still you may end up getting a worse woman than one who keeps nagging you knowing well you are poor
 
We want people who are Black like us!We have incorporated South Sudan and we now intend to focus on building the nations of the Member state for the Benefit of all the citizens of our countries.We shall move without you.We know you want us to fail but your selfishness and resentment is even motivating us more

But Uganda is voting NO to South Sudan! We wish you all the best in political federation!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom