Kwenye watu watano wanne wakiwa na uamuzi unaofanana aliyejitenga ni huyo mmoja hata kama anaamini yuko sahihi kuliko wenzake. Hii ni open forum hata mu-Eskimo wa Greenland anaweza kuchangia. Shida yako ni Kiswahili chake au hoja yake?Nimesoma baada ya comments katika hii forum na imenilazimu niseme yafuatayo:-
Umoja ni Nguvu-i still dont understand the exploitation Tanzanians keep talking about Kenya Kuna Mtu ako na facts anieleze polepole nikaelewa?Ikiwa mko madungu wanne na Moja kila wakati anataka kujitenga nakufuata njia yake si ni yeye anashida wala sio hao mandungu wengine? East Africans are slowly getting fed up with your constact complains about others with no basis.Kwani wakenya au Waganda wana nini yenye hamuna kwamba wakawaexploit?
Mkuu kwani katika hiz nchi ni akina nani wlaioanza kujitenga?? mleta uzi ni mchokozi tu hana jipya,
huyu ni maluki tu amekuja hapa kuanglaia upepo unavyovuma, na kinachomtambulisha kuwa ni mamluki kiswahili chake,
Hayo yote hatukuyajua tangu mchakato wa EAC unaanza, leo ndiyo tunazinduka kwenye usingizi wa pono na kugundua? Protocal ngapi Tanzania imesaini na zote zikiwa ni sehemu ya mchakato mpaka kufikia Shirikisho la Kisiasa? .
Na ww hapo umetoa analysis au?WaTZ toeni uchambuzi - cost-benefist analysis - ya kujitenga na wenzetu katika EAC badala ya kutoa kejeli na majibu ya reja reja. Mwenzenu ameuliza ili afahamishwe badala ya kumpa majibu mnamkejeli na kuangalia lugha badala ya hoja. Ni ishara ya ama kutokuwa na majibu au hata kutokuwa na weledi wa kutosha kuhusu mada yenyewe. Kama ni hivyo ni bora kunyamaza.
Mcheza kwao hutunzwa na mdharau kwao ni mtumwa ninamashaka sana na ww uliyetoa hii comment ukisifia nchi za wenzako nenda kaishi huko ili unufaike na hayo ya huko!!!Hayo yote hatukuyajua tangu mchakato wa EAC unaanza, leo ndiyo tunazinduka kwenye usingizi wa pono na kugundua? Protocal ngapi Tanzania imesaini na zote zikiwa ni sehemu ya mchakato mpaka kufikia Shirikisho la Kisiasa? Kutopenda kwenda kufanya kazi katika nchi za wenzetu si kwa sababu ya kupenda nchi bali ni kutojiamini na kutothubutu. Lawama si kwa majirani bali ni kwa sababu ya elimu yetu ya Kayumba. Utasagaje lami miaka mitano bila kazi ung'ang'anie hutaki kutafuta fursa nje kwa sababu wewe ni mpenzi wa nchi? Hata ukifika mipakani utakuta wenzetu wameamka zaidi kibiashara. Wakenya wanakuja mpaka Manyara na Kagera kunua vitunguu na maharage. Kwa nini waTZ wasipeleke na kuuza kule badala ya kuwangoja wenyewe nidyo waje? Kama kuna vizuizi kwa waTZ kupeleka biashara Kenya hiyo ndiyo hoja ya kuongea ndani ya vyombo vya EAC. Kuhusu ardhi suluhisho si kujitenga bali kutunga sheria za nchi ambazo haziwaruhusu wageni kumiliki ardhi. Pamoja na Kenya kuwa na mfumo wa umiliki wa moja kwa moja wa ardhi (freehold) ni wachache wako tayari kuuza ardhi yao kwa wageni. Je, kwa nini waTZ wawe tayari kuuza ardhi kwa wageni au kuwaaacha wageni wakamate ardhi kama haina mwenyewe? Huo ni udhaifu wetu na wala siyo wa majirani. Kwangu mimi ni vizuri zaidi kupambana tukiwa ndani kuliko kulialia tukiwa tumekaa pembeni.
Very true, sijui kwa nini Watanzania tunakubali kupandikizwa unyonge na viongozi wetu. Naamini tungeweza kuwa ndani EAC na wakati huo huo tukasimamia interest zetu vizuri tu, hapakuwa na haja ya kukaa pembeni.Hayo yote hatukuyajua tangu mchakato wa EAC unaanza, leo ndiyo tunazinduka kwenye usingizi wa pono na kugundua? Protocal ngapi Tanzania imesaini na zote zikiwa ni sehemu ya mchakato mpaka kufikia Shirikisho la Kisiasa? Kutopenda kwenda kufanya kazi katika nchi za wenzetu si kwa sababu ya kupenda nchi bali ni kutojiamini na kutothubutu. Lawama si kwa majirani bali ni kwa sababu ya elimu yetu ya Kayumba. Utasagaje lami miaka mitano bila kazi ung'ang'anie hutaki kutafuta fursa nje kwa sababu wewe ni mpenzi wa nchi? Hata ukifika mipakani utakuta wenzetu wameamka zaidi kibiashara. Wakenya wanakuja mpaka Manyara na Kagera kunua vitunguu na maharage. Kwa nini waTZ wasipeleke na kuuza kule badala ya kuwangoja wenyewe nidyo waje? Kama kuna vizuizi kwa waTZ kupeleka biashara Kenya hiyo ndiyo hoja ya kuongea ndani ya vyombo vya EAC. Kuhusu ardhi suluhisho si kujitenga bali kutunga sheria za nchi ambazo haziwaruhusu wageni kumiliki ardhi. Pamoja na Kenya kuwa na mfumo wa umiliki wa moja kwa moja wa ardhi (freehold) ni wachache wako tayari kuuza ardhi yao kwa wageni. Je, kwa nini waTZ wawe tayari kuuza ardhi kwa wageni au kuwaaacha wageni wakamate ardhi kama haina mwenyewe? Huo ni udhaifu wetu na wala siyo wa majirani. Kwangu mimi ni vizuri zaidi kupambana tukiwa ndani kuliko kulialia tukiwa tumekaa pembeni.
WaTZ toeni uchambuzi - cost-benefist analysis - ya kujitenga na wenzetu katika EAC badala ya kutoa kejeli na majibu ya reja reja. Mwenzenu ameuliza ili afahamishwe badala ya kumpa majibu mnamkejeli na kuangalia lugha badala ya hoja. Ni ishara ya ama kutokuwa na majibu au hata kutokuwa na weledi wa kutosha kuhusu mada yenyewe. Kama ni hivyo ni bora kunyamaza.
Watanzania hatulalamiki hata kidogo ,tunawashangaa ninyi mnaolazimisha mambo ili hali sisi tumeshaweka bayana kwamba kuna mambo hatuwezi kukurupuka kuyafanya ya muungano .Nimesoma baada ya comments katika hii forum na imenilazimu niseme yafuatayo:-
Umoja ni Nguvu-i still dont understand the exploitation Tanzanians keep talking about Kenya Kuna Mtu ako na facts anieleze polepole nikaelewa?Ikiwa mko madungu wanne na Moja kila wakati anataka kujitenga nakufuata njia yake si ni yeye anashida wala sio hao mandungu wengine? East Africans are slowly getting fed up with your constact complains about others with no basis.Kwani wakenya au Waganda wana nini yenye hamuna kwamba wakawaexploit?
Kinachotusababisha kujitenga na hawa mandugu ni kwasababu HAWAJUI KISWAHILI na sisi ENGLISH na KIFARANSA hatutaki kuongea kwani sisi sio makoloni ya UK na FRANCE....
I would prefer to be driven by this important business principle "The higher the risk the higher the return".