Tanzania vs Palestine

Palestine tayari wapo uwanjani wanapashapasha na bendi ya polisi kama kawaida wapo tayari kuchukua nafasi endapo cd ya wimbo wa taifa itagoma
 
Line up bado sijaipata. Stars nao wameingia uwanjani kupasha wapo akina kaseja, kado nsajigwa, ngasa n.k
 
kado, nsajigwa, jabu,nadir, aggrey, nditi, ngasa, jabir, tegete, boko,chombo
 
Timu zimeingia uwanjani na nyimbo za taifa zinapigwa
 
Jamani hakuna timu nyingine za kucheza nazo mpaka tucheze na Wapalestina? Maana wanaweza kutuletea mambo ya "Black September" hapa!
 
Njasigwa nusura awazawadie goli palestina, alimrudishia kipa mpira na jamaa wa palestina akaunasa
 
Back
Top Bottom