Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Nasikia kaarufu ka goli la 4
Hata mimi nasikilizia la 4...
ngoja tuone.
Nasikia kaarufu ka goli la 4
Mkuu ukiona hivyo walishachoshwa na ujomba jomba wa TFF. Bado kazi tunayo mbele, hadi tutakapofuzu kuwenda brazil!Mbona wale wasaliti siwaoni tena? Oooh! Tunafungwa, sijui nini! Mnakosa uzalendo, mnabaki kuchonga tu.
wa-morocco wanapotea nakwambia!!hakika samata ndo mkali....
hapa starz wamepiga pasi 25 bila ya moroco hajagusa..
mkuu dk ya 90!tunachezea 4 za majeruhi!Hivi imefika dakika ya ngapi hivi sasa?
sijakupata mkuu Zamaulid hapo kwenye bold. fafanua kidogo!:ranger:umeonaeeeeh!!!au na sisi machangu doa wametoa ahadi!!!
mkuu Nigeria wauza uchi walitoa ahadi timu yao ikichukua kombe watatoa nyuchi bure,nikafikiri na sisi wametoa ahadi hiyo ndo maana vijana wanajituma!!!sijakupata mkuu Zamaulid hapo kwenye bold. fafanua kidogo!:ranger: