Tanzania Vs Morocco

Tanzania Vs Morocco

wakate makosa ya kupoteza mipira katikati ya uwanja, mara zote ni hatari. andunje ngassa wampumzishe, makeke yake yalionekana dakika za mwanzo tu.
 
Tuzidi kuiombea Timu yetu, uwezekano wa kushinda kipindi cha pili uko naona.
 
Mimi naona beki isifanye urembo kule nyuma. Tulifungwa na Ivory Coast kwa kosa la kupasiana beki bila umakini. Na kipindi cha kwanza tumerudia na tumekoswa koswa. Ili lisijirudie kipindi cha pili.
 
TBC wamefulia hakya nani vile!!!! Ahadi zote zile then saa hizi wanatusaliti.
 
Back
Top Bottom