Tanzania VS C.A.R

lkn hii style yao ya kuita wachezaji wanaocheza nje bila kujua viwango vyao vikoje kwa wakati husika sidhani kama itatusaidia kwa kiwango alichoonyesha Machupa kwa kweli nasema hapana mara kumi ku2mia wachezaji wa ndani,Nurdini Bakari hafai kuchezea timu ya taifa magoli aliyokosa ni

Naungana na wewe...Machupa hamna kitu pale,natabiri Poulsen hawezi kumwita tena.....................Nurdin nadhani ni bahati mbaya.....
 
Tanzania, Algeria win in intriguing Group D

Algeria were 1-0 victors over fellow North Africans Morocco on Sunday, thanks to an early Hassan Yebda goal.

Tanzania revived their hopes of reaching the 2012 Cup of Nations after coming from behind to defeat Central African Republic 2-1 on Saturday.

The Taifa Stars needed a late goal from Mbwana Samata to seal victory in Dar-es-Salam in the Group D match.

But it was visitors who stunned the home crowd after just two minutes thanks to Mabide Vianney strike.

Shabaan Nditi restored hope for the side in the 70th minute when he took advantage of a defensive slip-up.

Samata rose highest in the final minute of the game to power a header beyond the visiting goalkeeper to send the home crowd into raptures.

Victory sends the Taifa Stars level on four points with group leaders Central African Republic.

All four teams are now on four points in Group D
 
Taifa Stars tukaze buti timu zote kwenye kundi letu zina 4 points after playing 3 games, tumebakiza mechi zifuatazo

Central Africa Republic vs Tanzana
Morocco vs Tanzania
Tanzania vs Algeria (Home game)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom