Ligi kuu NBC JKT Vs Mashujaa FC tunachukua pointi tatu

Bachelor ll

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,562
6,119
LEO NI MECHI MUHIMU KWETU UGENINI KTK VIWANJA VYA KAMBARAGE LIGI KUU NBC PREMIER JKT TANZANIA FC VS MASHUJAA FC TUNACHUKUA POINTI TATU….

Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Kambarage tunakwenda kushinda goli 1 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa JKT TANZANIA ila tunashinda mechi ya leo.

“Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi” Uchungu wa Mashujaa ni wetu.Dua zetu na sala zetu Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi ya Ugenini lazima tushinde Afe back Afe kipa point tunachukua Wazee wa kigoma wanasema goli 1 tunashinda.

Hii mechi ni muhimu kwasababu point ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.

“Watakiona Cha Mtema kuni” kwao SHINYANGA ktk Uwanja wa KAMBARAGE kwao ni kama kwetu tu.

Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu kwako kwetu tu.

kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma.
#MapigonaMwendo

Isha’Allah tunashinda.

Hamasa Mashujaa fc.
IMG_20230925_090351.jpg
 
View attachment 2770208
All best Chama la wana
 
Aisee lini mnacheza na vibonde wenu simba? Najua mna pointi zenu 6 za bure msimu huu.
 
Timu ya propaganda mitandaoni kama. Wagner. Ligi kuu sio porojo
 
MASHUJAA FC TUMEPOTEZA MECHI YA LEO MBELE YA JKT TANZANIA 1 UCHOVU KWA WACHEZAJI WETU KWA SAFARI KUTOKA RUANGWA to DAR to SHINYANGA MIILI IMEATHIRIKA NA SAFARI TUJIPANGE NA MECHI ZINAZOENDELEA……..

Leo tumepoteza mechi kwa kufungwa goli 1 na JKT Tanzania Ktk Uwanja wa Kambarage Shinyanga licha ya kucheza vizuri ila miili ya Wachezaji imeonesha kuchoka kwa UCHOVU wa safari ya kutoka Ruangwa to Dar to Shinyanga tumepata nafasi za magoli ila tumeshindwa kutumia tunajipnga na mechi zinazofata.

Niwapongeze Timu ya JKT Tanzania kwa kutumia nafasi waliyopata na kupata goli 1.

Nina toa shukrani za dhati kutoka moyoni kwa Wachezaji wetu wa MASHUJAA FC kwa Mchezo Mzuri, Benchi la Ufundi, Viongozi wa mashujaa fc, Chama cha soka mkoa wa kigoma(KFA) na kamati ya hamasa kwa kazi kubwa.

Kilichoathiri Timu yetu ni ratiba ya kutoka Ruangwa kwenda Shinyanga miili ya Wachezaji ilikuwa bado haijarudi Ktk hali nzuri ila Wachezaji wetu wamecheza vizuri sana, tumetemgeneza nafasi nyingi ninaamini kocha atafanyia kazi mapungufu naona Wachezaji kama wanauchovu wa safari.

Ninatoa shukrani kwa Wadau wa Mpira na Waandishi wa habari kwa kuitangaza timu yetu Morari ya mashabiki kushangilia Muda wote wakati mpira unachezwa Unaona rahaaa.

Nawatakiwa hamasa njema.

Hamasa mashujaa Fc.
03/10/2023.
 
LEO NI MECHI MUHIMU KWETU UGENINI KTK VIWANJA VYA KAMBARAGE LIGI KUU NBC PREMIER JKT TANZANIA FC VS MASHUJAA FC TUNACHUKUA POINTI TATU….

Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Kambarage tunakwenda kushinda goli 1 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa JKT TANZANIA ila tunashinda mechi ya leo.

“Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi” Uchungu wa Mashujaa ni wetu.Dua zetu na sala zetu Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi ya Ugenini lazima tushinde Afe back Afe kipa point tunachukua Wazee wa kigoma wanasema goli 1 tunashinda.

Hii mechi ni muhimu kwasababu point ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.

“Watakiona Cha Mtema kuni” kwao SHINYANGA ktk Uwanja wa KAMBARAGE kwao ni kama kwetu tu.

Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu kwako kwetu tu.

kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma.
#MapigonaMwendo

Isha’Allah tunashinda.

Hamasa Mashujaa fc.
View attachment 2770208
Sasa ndio mmefungulia mlango wa kupigwa, mtapigwa kama ngoma kila mechi
 
Back
Top Bottom