Tanzania VS C.A.R | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania VS C.A.R

Discussion in 'Sports' started by Kilakshari, Mar 26, 2011.

 1. Kilakshari

  Kilakshari JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya waungwana, Taifa Stars leo inasaka pointi 3 muhimu mikononi mwa C.A.R ambao kwa sasa ndio viongozi wa kundi D, linalojumuisha timu zingine za Algeria, na Morrocco. Tunaomba wadau wanaojua matokeo au chochote kuhusu mechi hii watuhabarishe. Mungu ibariki Tanzania, ibariki Taifa Stars iweze kushinda mechi hii muhimu ya leo.
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  hivi hii mechi itarushwa live? na ni saa ngapi?
   
 3. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  wadau tunawategemea kwa updates, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars:pray:
   
 4. Kilakshari

  Kilakshari JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeangalia myp2p.eu haipo kwenye list ya mechi zitakazoounyweshwa leo. Labda kutakuwa na website ingine watarusha. Ila nategemea TV na redio za bongo zitaonyesha na kutangaza mchezo huu.
   
 5. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mi nashanga walioandaa tamasha la mzalendo huko biafra nasikia linafanyika wakati mmoja na mechi hiyo, tutashangilia saa ngapi. Mlio uwanjani mtupe updates.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sina hakika kama itarushwa live..............tunaomba walio karibu na mechi hiyo watupe updates.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapo kweli wameharibu......
   
 8. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Updates plz, maana wengine tumekatiwa umeme tangu asbh.
   
 9. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  game linaanza saa ngapi?
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ah mgao umeisha bwana...nina wiki mbili sijaona umeme umekatika...............
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Jamani mpaka saa hizi hakuna mwenye taarifa kama game limeanza au......
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Naona Star TV kama wataonyesha hii mechi, naona jamaa wanaongelea hii mechi.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Angalieni Star TV, game linaanza muda si mrefu,
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tumeshapigwa bao moja......dakika ya pili.......dah inasikitisha mapema hivi...
   
 15. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ni uzembe wa mabeki ndio umesababisha Af.ya kati kupata gori la mapema.
   
 16. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Star TV mechi ilikua inarushwa lakini gafla imekatishwa, sijui wameona kudalili za Tz kupigwa mvua ya magori!!!
   
 17. Kilakshari

  Kilakshari JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  E bana eee ...duuh! ****** yuko uwanjani nini? Mbona...!!?
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu yalikuwa ni matatizo ya kiufundi tu!!
   
 19. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  duh, mapema hivyo....
   
 20. Kilakshari

  Kilakshari JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kupigwa bao la mapema. Je, Stars wanaonyesha matumaini, au wameelemewa.
   
Loading...