Tanzania VS C.A.R

Kwa ushindi huu wa Stars, Algeria akiifunge Morrocco tu, sie ndio tunakuwa nambari wani katika kundi D.
 
BBC wanaripoti:
"They go wild in Dar-es-Salaam. Tanzania take the lead against CAR. Taifa Stars corner headed home by Mbwana Samata. It's the final action of a dramatic match. Tanzania are back in contention for a place in the finals"

Lakini half time wanasema washabiki waliwazomea Stars kwa kutoka mapumziko wakiwa nyuma kwa bao.
"Halftime in Dar-es-Salaam where hosts Tanzania are trailing 1-0 at the hands of Central African Republic. The Taifa Stars are booed off the pitch by angry home fans"
 
Baada ya mchezo wa leo, msimamo wa kundi hili (group D) upo hivi:

attachment.php

NB: Kanuni za mashindano haya ya CAN 2012 Qualifiers yanaheshimu Goal Difference (GD) kwanza kabla ya Goal For (GF), na ndio maana pamoja na kuwazidi Morocco kwa magoli, bado wapo mbele yetu kwa sababu ya Goal Difference. Kesho ni Algeria vs Morocco wakichezea Algiers.
 
If Algeria are going to win against Morroco the group will be all square with all teams at 4 points each with 3 games played and 3 matches to go, mathematically if we are to qualify at least as a second best Stars have to grab at least 6 points of the possible 9, A win away to CAR and at home vs Algeria are possible...
 
Even a win away to Morrocco is possible. Ni kujiandaa na kuwa ngangari tu!
 
TFF ianandae mkakati wa mapema na ihakikishe wachezaji wote wanaocheza soka nje ya nchi wanafika mapema kujiunga na timu punde kocha atakpowateua. Hongera Taifa stars hongera Watanzania wote.
 
TFF ianandae mkakati wa mapema na ihakikishe wachezaji wote wanaocheza soka nje ya nchi wanafika mapema kujiunga na timu punde kocha atakpowateua. Hongera Taifa stars hongera Watanzania wote.

lkn hii style yao ya kuita wachezaji wanaocheza nje bila kujua viwango vyao vikoje kwa wakati husika sidhani kama itatusaidia kwa kiwango alichoonyesha Machupa kwa kweli nasema hapana mara kumi ku2mia wachezaji wa ndani,Nurdini Bakari hafai kuchezea timu ya taifa magoli aliyokosa ni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom