LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,234
- 883
<br />Masuke kikosi kikianza hivyo imekula kwetu,naamini Mrwanda,Ngassa na Samatta wakishambulia pamoja hakuna beki ataezuia dk zote 90
Timu zinakaguliwa sasa.....
Dunia ilpofikia channel ikiwa katika satelite basi haijalishi wewe uko wapi,kuna vitu vya kiufundi,kama vile ukubwa wa dish unalotumia,au upande gani umelielekeza na footprint ya satelite husika.Kwa mfano ATLANTIC BIRD3 5W,coverage area ni bara lote la Afrika.kwa maana hiyo mechi hii haijalishi uko wapi,ALGERIA au kwa MATIAS.Kwa sisi tulio algeria au waliopo kwa matias?
<br />naona star tv wanaonyesha
star tv wanatuzingua nchi hii kila kitu ni matatizo,. agh........Kwa walio Tanzania game inaoneshwa na Star TV na tayari wameshaanza kuujadili mpambano
Tafa Stars:BALA heshima yako mkuu!!Sisi tulio nje ya nchi tunakutegemea ww maana nimejitahidi kutafuta link nimekosa.Ungetutupia na line up ya TZ ambayo ni muhimu hiyo ya Algeria sina haja ya kujua ila nahitaji kujua kama Zidan yupo
<br />Masuke nikiwa ndani ya uwanja wa Taifa, timu ndo zinapasha sahivi, nitakuwa nawaletea matukio muhimu tu.