Mkuu naona apo pazito kwa maana kwetu matajiri wetu kuna mafisadi, majambazi, wauza madawa ya kulevya, vilevile waliochuma utajiri kwa nguvu za halali na waliorithi mali kwa wazee wao, ila kwa kutajwa humu mkuu inakuwa ngumu, naona kule kwa Waganda umetuwekea mambo saafi, kwa ndugu zetu wa Kikenya kidogo umetumwagia walau wachache ila hapa nyumbani ndio hujatupa data zozote? Binafsi nadhani Top ten ya kwetu ina mafisadi (waheshimiwa wastaafu) na familia zao at least in top 5 out of ten.Katika baadhi ya nchi, utajiri wa mtu si wa kificho na huwa kuna listing zinazoonyesha matajiri mbalimbali na kiasi cha mali walizonazo. Yeyote ambaye ana facts za nani anaweza kuwa tajiri wa kwanza Tanzania anaweza akamwaga facts hizo hapa na chanzo cha utajiri wake.
Wakuu;
Kuna link hizi mbili ambazo hata hivyo hazina maelezo ya kutosha:
http://wiki.answers.com/Q/Who_is_the_richest_man_in_Tanzania
myafrica.wordpress.com/2006/10/14/east-africa-the-rich-also-cry
Inawezekana ndugu yetu Bakhressa akawa ni tajiri wa kwanza Tanzania?
Katika baadhi ya nchi, utajiri wa mtu si wa kificho na huwa kuna listing zinazoonyesha matajiri mbalimbali na kiasi cha mali walizonazo. Yeyote ambaye ana facts za nani anaweza kuwa tajiri wa kwanza Tanzania anaweza akamwaga facts hizo hapa na chanzo cha utajiri wake.
Hivi kumbe Bakhresa ana miaka 36 tu (ilikuwa 34 mwaka 2006). Mimi nimeaza kusikia jina hili zaidi ya miaka 20 iliyopita, yaani ina maana kuwa jamaa alianza utajiri akiwa chini ya miaka 16. Nadhani waandishi walikosea au labda huyu waliyemuongelea ni mtoto wake.
Mtsimbe...thanks kuanza kujadili siasa, lkn ujue TPN unaiweka hatarini, wanasiasa wa TZ hawaoni raha kujadili this discussion. hata kama umepata wabunge ktk TPN bado kuchangia kwako ktk mambo kama Haya haitakuwa vyema kwao. nakushauri ukitaka kuchangia mambo kama Haya kuwa na NICKNAME ingine..otherwise isije kukumbuka kama walivyokumbwa wafanyakazi wa SMZ na wakawa washabiki wa CUF.
I think the best way to go about it ni kupata list ya walipa kodi wakubwa [individuals] hawa ndio wakuwatambua kwa kua nchi pia inafaidika na utajiri wao.Mtu kama Lowassa mwenye nyumba zaidi ya hamsini Dar na arusha through dubious means [10%] sidhani tukubali