Tanzania Tycoons List...

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
832
Nadhani kwa sasa itakuwa inaongozwa na Bakhressa kisha Mkewe Mkapa then Mwaziri wa serikali hiii bila kumsahau Lowasa

Uchambuzi wa: Tanzania Tycoons List... - Page 6 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers (Unaweza kuongeza majina unayoyajua katika thread hii) unaonyesha kuwa listi ya Matajiri Tanzania ni hii iliyopo hapa chini.

Ingawa hakuna takwimu juu ya utajiri walionao na kiasi gani cha pesa walichonacho, swali la msingi ni: Je tunajifunza nini kutokana na jitihada zao za biashara au kupata utajiri? Je, inawezekana Watanzania wengine wakafanya jitihada na kufanikiwa kama wao?

The List

 1. Said Salim Bakhressa: AZAM - Grain milling, corporate finance, passenger sea transportation, plastic packaging, marketing, polypropylene bags, other branches of engineering field, food industry, drinking water
 2. Aziz Abood: Abood buses,factories,truck company,tv&radio,properties)
 3. Nasoro: Doll trailers, superstar buses, royal buses, major shareholder-mtibwa sugar,kagera sugar, city water, truck company, properties
 4. Mohamed Dewji: Mohamed enterprises, factories, properties
 5. Rostam Aziz: Caspian; Vodacom
 6. Reginald Mengi: The IPP Group, Financial Consulting firm (IPP Consulting), Coca-Cola (Coca-Cola Kwanza, Bonite Bottlers and Kilimanjaro Spring Water), (IPP Bodycare Ltd (IPP Media). These include The Guardian Ltd; Nipashe, Alasiri, Kasheshe, Independent Television Ltd. (ITV), East Africa Television (EATV, formerly Channel 5)), Radio ONE, Sky-FM (in a joint venture with BBC) and East Africa Radio.
 7. Michael Ngaleko: Presicion Air Ltd
 8. Fidahussein: Africarriers,properties including heidary plaza, raha towers, zahra towers etc
 9. Yusuph Manji: Quality Group; Properties, Trucks
 10. Andrew Chenge: Worth US$ 1million (over 1 billion Tanzania shillings) in an overseas offshore account
 11. Nazir Mustafa Karamagi: Tanzania International Container Terminal
 12. Edward Ngoyayi Lowassa
 13. Mohammed Aboud
 14. Tarimba Abbas
 15. Philemon Ndesamburo
 16. Alex kajumulo
 17. Freeman Mbowe
Na wengine ongezeni
 
Udaku kama kawaida, itabidi tuwe tunaangalia thread imeanzishwa na nani kabla ya kuingia.
 
game theory at least ungetutajia wewe angalao TOP TWENTY RICHEST...kama forbes...alafu sisi tungeingia ku challange kuhusu position zao...

well nikusaidie tu ..kama unataka kufanya research ya tanzania most richest people nenda pale TRA kuna kitengo kinaitwa LARGE TAX PAYERS DEPT ...kinahudumia wafanyabiashara 300 tu..wanaoliingzia taifa almost 1 trillon kwa mwaka..sasa kama unataka kujua wazawa matajiri at least nenda pale kwenye kitengo utafikti wazawa matajiri waliobahatika kuwa rated as LARGE TAX PAYERS sasa from hapo uangalia who pays more to least in that cartegory ......hiyo itakuwa undisputed list kuliko kutaja tu hadi tutataja matajiri wasiolipa kodi au wa hela za unga!!
 
Phillemon, kile kitengo cha large Tax payer hakiwezi kutusaidia kujua 'matajiri' wa nchi hii kwa vile walioorodheshwa pale ni wale angalao wameorodhesha biashara halali na wanalipa kodi.
Lakini hata kama mtu hulipi kodi kwa ufisadi wako,wizi nk, haikuondoi kwenye orodha ya matajiri na hapo ndio tunapopataka,kujua hata hao walioficha fedha huko ughaibuni wana kiasi gani?wamepataje ni swali litakalofuata,Na tuwafanyeje hilo ni la mwisho
 
Huwezi kuweka pamoja tajiri halali na mwizi kwenye list moja.Pablo Escobar wakati wa uhai wake alikuwa na utajiri ambao ungeweza kumfanya labda kuwa wa kwanza au wa pili duniani,lakini hakuwahi kuwepo kwenye list ya forbes richest people.
 
Huwezi kuweka pamoja tajiri halali na mwizi kwenye list moja.Pablo Escobar wakati wa uhai wake alikuwa na utajiri ambao ungeweza kumfanya labda kuwa wa kwanza au wa pili duniani,lakini hakuwahi kuwepo kwenye list ya forbes richest people.
Basi zitengenezwe mbili.
 
Mkuu wangu Theory,

Heshima mbele kaka, lakini hiii topic mahali pake hasa ni kwenye udaku, kama kweli tunataka kuendeleza heshima ya hii forum, kwa ajili yetu na vizazi vijavyo,

ni aibu kuwa na hii topic hapa kwenye siasa nzito, ninajua kuwa wewe ni mut makini kwenye kukata ishus, lakini labda kwenye hii ulighafikrika tu!!

Ahsante Mkuu.
 
Ukitaka kujua ni lazima ujue wameweka kiasi gani kwenye Benki zao Uswisi, vinginevyo utakuwa huna orodha ya kweli na kamili.
 
Mkuu wangu Theory,

Heshima mbele kaka, lakini hiii topic mahali pake hasa ni kwenye udaku, kama kweli tunataka kuendeleza heshima ya hii forum, kwa ajili yetu na vizazi vijavyo,

ni aibu kuwa na hii topic hapa kwenye siasa nzito, ninajua kuwa wewe ni mut makini kwenye kukata ishus, lakini labda kwenye hii ulighafikrika tu!!

Ahsante Mkuu.

msisitizo msisitizo tu maana sina cha kuandika kwenye udaku!
 
Nadhani wote mmekosea hii ndio list ya matajiri hapa bongo.

1. ROSTAM AZIZ
2. ANNA MKAPA
3. BENNY MKAPA
4. FREDRICK SUMAYE
5. BAZIR MRAMBA.
6. BAHRESA

mtu mwingine aendelee kuongea list ili wafike 20.
 
HII iwekwe kwenye udaku.

Hapa ni mahali pa kujadili mambo yaliyofanyiwa kazi na kuhakikiwa tafadhali.
 
nnazani amekusudia kuunganisha na yale mambo ya mafisadi, lengo anapima upepo jee richest list ni wale waliotangazwa kuwa mafisadi?


nnategemea hio ndio point kuu iliolala hapa. kwa hio si udaku tu kuna kitu cha kujadili ukitulia.

FD si ulipitia literature na mambo ya fasihi babu, mfano mfalme Juha, Mashairi ya cheka cheka, Nchi ya kufikirika na kama hayo utahisi ni udaku kumbe siasa imelala ndani.
 
This is useless thread!! Admin uitoe ama uhamishie kwenye nyepesi nyepesi kama si udaku
 
Hapa ilipo iko kwenye Udaku au macho yangu yana matege?Mie naona iko kwenye udaku,wengine kukazania kuwa iko kwenye siasa nzito sipati picha.
 
Mie nadhani nyinyi watu wa JF mna makengeza mbona hii theory mbona ipo kwenye jokes/udaku. Angalieni kwanza kabla ya kuanza kuropoka.
 
Katika baadhi ya nchi, utajiri wa mtu si wa kificho na huwa kuna listing zinazoonyesha matajiri mbalimbali na kiasi cha mali walizonazo. Yeyote ambaye ana facts za nani anaweza kuwa tajiri wa kwanza Tanzania anaweza akamwaga facts hizo hapa na chanzo cha utajiri wake.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom