UKAWA walikimbia bunge la katiba na kutukosesha mengi mazuri!Imenishangaza mpaka sasa hasa wapinzani hawajadai tume huru ya uchaguzi. Hii haitakuwa nzuri kwa taifa tujiandae muhula wa pili kuwa mgumu kwa Magu. Kwanza kwasababu ya kutokuwa na tume huru jumuia za kimataifa zitatugomea kwenye mambo mengi. Pili pesa za watalii zitapungua kwa chaguzi za kenya na Tanzania kutisha wageni. Tatu CCM wataanza groups za kuwa Raisi ajaye. Vilevile kama kawaida Zanzibar kutaibiwa kura na kuleta majanga kule.
Hivyo kwa mnao ona mbali hasa CCM jueni tume huru itawasaidia kwa mengi.Bila hivyo mtawapa upinzani nguvu maana malalamiko yao kila mtu ataona wazi
Mkuu Kamundu, kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Tume ya Uchaguzi NEC ni tume huru, sema tuu sio Shirikishi.Imenishangaza mpaka sasa hasa wapinzani hawajadai tume huru ya uchaguzi.
Hivyo kwa mnao ona mbali hasa CCM jueni tume huru itawasaidia kwa mengi.Bila hivyo mtawapa upinzani nguvu maana malalamiko yao kila mtu ataona wazi
Mkuu Kamundu, kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Tume ya Uchaguzi NEC ni tume huru, sema tuu sio Shirikishi.
Uhuru wa Tume ya Uchaguzi ni kama uhuru wa mahakama, uhuru wa Bunge, uhuru wa CAG, DPP, Takukuru, Tume ya Haki za Binadamu, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Tume ya Maadili etc.
P
Ccm walitaka kubadilisha maoni ya watanzania mil 50 waingize upupu waoUKAWA walikimbia bunge la katiba na kutukosesha mengi mazuri!
Hata Musiba anaamini kuwa ni mwanaharakati huru-je ni kweli hiyo? Katiba inasema tuwajamaa-je ni kweli hiyo. Katiba ya Zanzibar inasema Tanzania ina nchi mbili-je ni kweli hiyo. Nina hakika kuna vigezo vya kuifanya tume iwe tume huru kimaandishi na pia kimatendo. Kwa matendo yao je una amini wao kweli ni tume huru? Hati kule Korogwe vyama vitano vya upinzani kwa masaa takribani matano vilishindwa kujua fomu za wagombea wao warudishe ofisi gani(Boma la Korogwe lina majengo makubwa mawili tu) halafu tume inayo ongozwa na JAJI na DOKITA (PhD) ina amini kuwa wapinzani walishindwa kurudisha fomu hivyo mgombea wa CCM kapita bila kupingwa. HATUNA TUME HURU kwa maandishi na kwa matendo.Mkuu Kamundu, kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Tume ya Uchaguzi NEC ni tume huru, sema tuu sio Shirikishi.
Uhuru wa Tume ya Uchaguzi ni kama uhuru wa mahakama, uhuru wa Bunge, uhuru wa CAG, DPP, Takukuru, Tume ya Haki za Binadamu, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Tume ya Maadili etc.
P
Hata roho na dhamira yako itakuwa inakusita. Muulize JK alichofanya (kutusaliti) na pia msikilize Kabudu na Polepole wa enzi hizo. CCM Chamadola kilipata mchecheto kikaharibu mchakato. Kumuka yule mama (RIP) aliyesema serikali haipatikani kwa vikaratasi. Na kweli CCM wakamuibua Jecha tukaona kura zetu zikipoteza maana. Hati chaguzi ya raisi JMT iko sawa na ule wa Raisi wa SMZ unakasoro vituo karibu vyote Zanzibar. Hawa ni wa kupelekwa SHENZISTAN wakaishi huko.UKAWA walikimbia bunge la katiba na kutukosesha mengi mazuri!
Mzee wa 0Mkuu Kamundu, kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Tume ya Uchaguzi NEC ni tume huru, sema tuu sio Shirikishi.
Uhuru wa Tume ya Uchaguzi ni kama uhuru wa mahakama, uhuru wa Bunge, uhuru wa CAG, DPP, Takukuru, Tume ya Haki za Binadamu, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Tume ya Maadili etc.
P
Uwe unamuogopa na Mungu leo jumapili, hivi tume ya haki na madaraka ya bunge walikupa masharti gani naona toka uhojiwe umekuwa mtu wa kumpamba Zimwingara aonekane malaika.Mkuu Kamundu, kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Tume ya Uchaguzi NEC ni tume huru, sema tuu sio Shirikishi.
Uhuru wa Tume ya Uchaguzi ni kama uhuru wa mahakama, uhuru wa Bunge, uhuru wa CAG, DPP, Takukuru, Tume ya Haki za Binadamu, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Tume ya Maadili etc.
P
Una hakika Ukawa walitoka kwa sababu ya ccm kubadilisha maoni ya watanzania au waliona hayo waliona hayo mabadiliko hayana masilahi kwao Ukawa?Ccm walitaka kubadilisha maoni ya watanzania mil 50 waingize upupu wao
Tukiwa na tume huru CCM itakufa kifo cha mende saa 1 asubuhi kwenye siku ya uchaguzi.Imenishangaza mpaka sasa hasa wapinzani hawajadai tume huru ya uchaguzi. Hii haitakuwa nzuri kwa taifa tujiandae muhula wa pili kuwa mgumu kwa Magu. Kwanza kwasababu ya kutokuwa na tume huru jumuia za kimataifa zitatugomea kwenye mambo mengi. Pili pesa za watalii zitapungua kwa chaguzi za kenya na Tanzania kutisha wageni. Tatu CCM wataanza groups za kuwa Raisi ajaye. Vilevile kama kawaida Zanzibar kutaibiwa kura na kuleta majanga kule.
Hivyo kwa mnao ona mbali hasa CCM jueni tume huru itawasaidia kwa mengi.Bila hivyo mtawapa upinzani nguvu maana malalamiko yao kila mtu ataona wazi
Kitu/vitu gani vinakufanya udhani na kuamini kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni tume huru kitaasisi, uoatakanaji wa wajumbe na wafanyakazi ???Mkuu Kamundu, kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Tume ya Uchaguzi NEC ni tume huru, sema tuu sio Shirikishi.
Uhuru wa Tume ya Uchaguzi ni kama uhuru wa mahakama, uhuru wa Bunge, uhuru wa CAG, DPP, Takukuru, Tume ya Haki za Binadamu, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Tume ya Maadili etc.
P
Sheria inayounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ni Tume huru, an independent institution ambayo haipaswi kuingiliwa na yeyote kama lilivyo Bunge, Mahakama, Ofisi ya CAG, Tume ya Haki za binaadam na Utawala Bora, ofisi ya DPP, Takukuru etc. Taasisi zote hizi watendaji wakuu wanateuliwa na rais.Kitu/vitu gani vinakufanya udhani na kuamini kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni tume huru kitaasisi, uoatakanaji wa wajumbe na wafanyakazi ???