Tanzania tuwe na tahadhari na Kagame

Israel ni kanchi kadogo umeme wa kumwaga mbona hao Jamaa zako wanapokea mkong'oto.
Itakua hukuona kikosi maalum jeshi la Israel wakifurahi kuondoka Gaza,ungeona ungekua nani anakula mkong'onto,halafu Gaza na Israel ipi nchi kubwa!?
 
Mi nitakuwa wa kwanza kumpa support Kagame akiingia vitani kuwang'oa fisiemu
 
Kagamephobia.
Tunamatatizo makubwa ya kishughulikia kuliko Kagame. Naamini angekuwa ni hatari kama unavyotaka kuaminisha angeshashughulikiwa kitambo. Huu uzi ni sahihi kwa Congo sio TZ
Maadui hatari kwa Tanzania tunao humuhumu nchini, ni ujinga kumhusisha Kagame na kuwapa waarabu bandari zetu.
 
Binafsi nimechagua kuwa na Tahazari na watu wenye akili kama yako
 
Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.
Hapo nilipo bold mkuu 🤝 uko sahihi kabisa.
 
Itakua hukuona kikosi maalum jeshi la Israel wakifurahi kuondoka Gaza,ungeona ungekua nani anakula mkong'onto,halafu Gaza na Israel ipi nchi kubwa!?
Makomandoo wapya wameingizwa karibia mchezo unaisha na Yahya Sinwar anaingiziwa Guruneti kwenye Mku**du.
 
Maadui hatari kwa Tanzania tunao humuhumu nchini, ni ujinga kumhusisha Kagame na kuwapa waarabu bandari zetu.
Tena hao wenzetu pengine wakikaa nao vizuri wanaweza kuwapa bei hadi za wake zetu. Uzalendo nchi hii unapaswa kurudishwa kwa fimbo.
 
Wala sidhani kama hilo ni jambo la kujadili maana siku rwanda ikileta fyokofyoko.
Tutaenda kupambana nao na kambi mbili za jwtz.
Tunachukua vichaa wa arusha na mara.

Ndani ya saa 2 inakuwa kazi kwishaaa
 
tanzania inamjua sana na kagame anaijua sana tanzania,jk alimtwanga kagame sawasawa pale aliposhiriki kuipindia burundi na akamrudisha the late nkurunzinza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.
Hata tz ni hayo hayo leta hoja nyinngine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…