Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,536
- 7,073
Ata ww utakua mmoja wao ukute na husemiYani EA wote mnamuogopa Kagame nyie mapimbi kweli
Ata ww utakua mmoja wao ukute na husemiYani EA wote mnamuogopa Kagame nyie mapimbi kweli
We ni pungaWivu unakusumbua stupid
Halafu mtu anashangaa hakuna mgao wa umeme!!..hapo Rwanda Kuna sehemu hakuna lamiTabora- 75,150 km²
Rwanda- 26,338 km²
Sikonge District - 27,873 km²
Rwanda ni kama wilaya ya Sikonge. Kagame kwa level ya Tanzania ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge 🤣
Itakua hukuona kikosi maalum jeshi la Israel wakifurahi kuondoka Gaza,ungeona ungekua nani anakula mkong'onto,halafu Gaza na Israel ipi nchi kubwa!?Israel ni kanchi kadogo umeme wa kumwaga mbona hao Jamaa zako wanapokea mkong'oto.
Wapi na saa ngapi? Tunda kimasihara utakuwa umemuachia nani mda huo?Ww kaa na upuuzi wako hivo hivo unadhani hujui chochote upo upo tu kama zoba unafikiri wa tz ni mazoba kwamba tutakaa kimya huyo bwege akileta upuuzi mwambie watz ni mzinga wa nyuki tutamwachia manundu huyo mmeo
Maadui hatari kwa Tanzania tunao humuhumu nchini, ni ujinga kumhusisha Kagame na kuwapa waarabu bandari zetu.Kagamephobia.
Tunamatatizo makubwa ya kishughulikia kuliko Kagame. Naamini angekuwa ni hatari kama unavyotaka kuaminisha angeshashughulikiwa kitambo. Huu uzi ni sahihi kwa Congo sio TZ
Ulitaka kusemajeHalafu mtu anashangaa hakuna mgao wa umeme!!..hapo Rwanda Kuna sehemu hakuna lami
Hapo nilipo bold mkuu 🤝 uko sahihi kabisa.Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.
Rais Bora, kafanya makubwa kiuchumi,Rwanda imeendelea,nchi Kama wilaya ya sikonge na bado hakuna lami!!?..hayo maendeleo,ubora wa uongozi uko wapi!?Ulitaka kusemaje
Makomandoo wapya wameingizwa karibia mchezo unaisha na Yahya Sinwar anaingiziwa Guruneti kwenye Mku**du.Itakua hukuona kikosi maalum jeshi la Israel wakifurahi kuondoka Gaza,ungeona ungekua nani anakula mkong'onto,halafu Gaza na Israel ipi nchi kubwa!?
Tena hao wenzetu pengine wakikaa nao vizuri wanaweza kuwapa bei hadi za wake zetu. Uzalendo nchi hii unapaswa kurudishwa kwa fimbo.Maadui hatari kwa Tanzania tunao humuhumu nchini, ni ujinga kumhusisha Kagame na kuwapa waarabu bandari zetu.
Kikosi kilichoondoka ndiyo eliteMakomandoo wapya wameingizwa karibia mchezo unaisha na Yahya Sinwar anaingiziwa Guruneti kwenye Mku**du.
Viko vingi Mzee sasa hivi Hamas hata zile video hawaposti tena.Kikosi kilichoondoka ndiyo elite
tanzania inamjua sana na kagame anaijua sana tanzania,jk alimtwanga kagame sawasawa pale aliposhiriki kuipindia burundi na akamrudisha the late nkurunzinzaRais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchino DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Hata tz ni hayo hayo leta hoja nyinngineRwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.
Stori za Ghahawatanzania inamjua sana na kagame anaijua sana tanzania,jk alimtwanga kagame sawasawa pale aliposhiriki kuipindia burundi na akamrudisha the late nkurunzinza
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikua wanakupostia wapi!?Viko vingi Mzee sasa hivi Hamas hata zile video hawaposti tena.