Tanzania tuwe makini na No Reforms No Election

Tanzania tuwe makini na No Reforms No Election

Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.

Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu

Hali ni tete sana

Ahsanteni 🐼
Nimejaribu kuelewa unachotaka kusema, lakini hadi sasa sioni hoja ya msingi (substance), maelezo yako yanarukaruka tu bila kueleweka vizuri.
 
Maandamano ya Kenya sasa ni ujinga,,, maandamano hayana KIONGOZI wala MALENGO,, kwamba watu waende tu wakajazane tu barabarani na kukimbizana na Polisi...
SUDAN na INDONESIA walionyesha nini maana ya maandamano...
 
Mageuzi yoyote ya ulimwengu katika historia hayakuja kirahisi kama Tanzania tunavyodhani sijui meridians,kamati za amani,harambee na kuombewa na viongozi wa kidini.
 
Hawa NO RERFORM NO ELECTION NI WA KUCHAPA VIBOKO KABISA,HATUTAKI GHASIA HAPA TANZANIA,KAMA MNAPENDA GHASIA ENENDENI KENYA MKAZIFURAHIE,
HAPA TUNA,
TIKI-KUBWA
View attachment 3397039

Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
downloadfile-2.jpg
 
Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.

Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu

Hali ni tete sana

Ahsanteni 🐼
Hilo linao uhusiano gani na juhudi zetu hapa.
Wao watajikomboa kwa njia zao, nasi tutatumia njia zetu

Shida yako ni nini?
 
FANYA YAKO MKUU KILA NCHI NA WATU WAKE NA STRATEGY ZAO

kenya ni kenya

Tz ni Tz
Watanzania wengi kama siyo waafrika wanafikiria kama wewe na ndiyo maana hatuendelei. Chochote kinachotokea duniani na haswa kwa majirani zako, ni lazima ukichukulie kwa uzito mkubwa. Siyo wa kuingilia, hapana, ila kwa dhumuni la kujifunza ili kuepuka yasitokee kwako na pia kusaidia kama kuna umuhimu.
 
Demokrasia inahitajika sana na nina tamani siku moa Tanzania ije kupata katiba kama ya Kenya.

Lkn kwa wakenya kuna jambo haliko sawa, wanatumia uhuru na demokrasia yao vibaya. Too much freedom is anarchy.
Unajichanganya sana, mkuu 'Sexless'.
Hiyo 'idealism' ya 'democracy' ni kiini macho tu.
Mimi sijali huo mfumo utakaokuweo, mradi tu maslahi ya nchi yazingatiwe.

Sasa sielewi una maana gani unaposema "wanatumia uhuru na demokrasia yao vibaya". Wewe ulitaka waitumieje mbele ya uongozi wa kijambazi unaowakabili?

Tatizo linaanzia kwa uongozi wa kitaeli anaoutumia Ruto.
 
Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.

Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu

Hali ni tete sana

Ahsanteni 🐼
pumbavu kupata uhuru siyo kula pilau na kuvaa kibaragashia....... we kalale kwako waache wanaoona kuna haja ya kudai katiba mpya
 
Back
Top Bottom