Tanzania tuwe makini na No Reforms No Election

Tanzania tuwe makini na No Reforms No Election

Hawa NO RERFORM NO ELECTION NI WA KUCHAPA VIBOKO KABISA,HATUTAKI GHASIA HAPA TANZANIA,KAMA MNAPENDA GHASIA ENENDENI KENYA MKAZIFURAHIE,
HAPA TUNA,
TIKI-KUBWA
View attachment 3397039


Hiyo tick ni kwaajili ya wale wa uzao wa shetani, wanaona kuwateka na kuwaua binadamu wenzao ni jambo jema.

Jitenge na watekaji na wauaji, jitenge na CCM.

Jitenge na wadhulumu haki, uzao wa shetani, jitenge na CCM.

CCM ni shetani, CCM ndiyo iliyoasisi utekaji, utesaji na mauaji ya wote wanaomkosoa sa100. Jitenge na CCM uiepuka laana ya Mungu.
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Katiba ni kitu kimoja na kuheshimu hako kajitabu ni kitu kingine, katiba isipoheshimiwa hata iwe nzuri namna gani watu watadai haki zao kwa njia wanazojua, kama bongo tunadai kwa mitume, manabii na magagula wenzetu wanadai kwa muscles!
 
NRNE ni simba wa kuchonga kwa mbali anatisha ila kwa karibu unampapasa hana madhara
 
ndiyo mappmbano yenyewe ya kujikomboa. hapa napo yanakuja, it is a matter of time
Si ulisema utajitokeza kwenye kanisa la gwajima kupigania haki mbona hujajitokeza jana jumapili?
 
Tushakua makini hatuwezi zuia uchaguzi ila hatutapiga kura na wala utotuona sku ya kupiga kura
 
Kipimo Cha mafanikio ya siasa za kiharakati za Lisu na wafuasi wake ni Gen Z wa Kenya, vijana wa hovyo wanaoandamana kila siku mabarabarani na kuiba Mali za wafanyabiashara.
Wewe ni sengelema unakalia nyama laini.
 
ndiyo mappmbano yenyewe ya kujikomboa. hapa napo yanakuja, it is a matter of time
Unajikomboa dhidi ya nani? Unaharibu mali za watu ,maduka ,magari kisa wewe umeshindwa kujituma then unasema unataka mabadiliko.
 
Punguza ujuha na upuuzi wewe. Halafu acha sifa za kijinga
Punguza ujuha na upuuzi wewe! Hii ni zaidi ya ushauri, ni onyo kabisa!
Mshana, umetenda lililo jema kwa manufaa yake
 

Attachments

  • DSC_0049.JPG
    DSC_0049.JPG
    200 KB · Views: 11
Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.

Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu

Hali ni tete sana

Ahsanteni 🐼
Wanofunga nimatokeo yakudhurumu Haki za watu kwanini watawala hawataki kutoa Haki nakuheshimu Haki za watu? Haya yote yasingetokea kunapokua na Haki ya kweli


No reform No Election
 
Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.

Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu

Hali ni tete sana

Ahsanteni 🐼
Hata TZ watakuja kuandamana tu.

Sisi tunaishi kama mazuzu.

Sidhani kama watoto wetu watakuja kukubali kutawaliwa, kutekwa au kuuliwa kama nyumbu na mitoto ya MWIGULU.

download (1).jpeg
 
Back
Top Bottom