Tanzania tuwe makini na No Reforms No Election

Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.

Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu

Hali ni tete sana

Ahsanteni 🐼
Unachotakiwa ni kuigilizia wapi walifaulu na wapi walipata mikwamo ili njia zitengenezwe sasa.
 
Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.

Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu

Hali ni tete sana

Ahsanteni 🐼
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Back
Top Bottom