Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,181
- 4,252
Sidhani kama tukifanya hivi tutakuwa tunaiiga S/Korea maana kuna nchi zisizopungua 26 duniani kote ambazo ni lazima kwenda jeshini ukifikisha umri kadhaa. Labda ukinithibitishia kuwa hawa S/Korea ndio waasisi wa utaratibu huu, basi nitakubali kwamba kweli tunawaiga wao.Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri.
Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya kufikisha miaka 28 wapitie mafunzo ya jeshini kwa miaka miwili...labda tu wawe wameletea sifa taifa lao kupitia michezo
Binafsi kama mwanamichezo niliipenda sana kwa sababu inawapa vijana moralii ya ushindani, sio tu kwenda kwenye mashindano bila malengo yoyote.
Ningependa sana siku moja hii sheria ipitishwe[emoji16]View attachment 853947
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kuna nchi ambazo zimefika mbali zaidi ambapo wanaume na wanawake wote lazima waende jeshini. Mojawapo ni Israel.