Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
Bado tu kama kms 120 barabara pale Singida yote iwe na lami toka Dar hadi Mz- na kuna mkandarasi anaendelea na kazi!
Ni kweli toka dar hadi Mz kwa sasa unafika siku hiyo hiyo.. basi ni nyingi tu Muhamed Transp n.k.. ni chache sana sasa hupitia Kenya!
Je wewe haujapitia hii njia karibuni? Pitia kwa gari ujionee!
Reli ndo naona bado..bado tunasuasua!
Ubungo ubungo,Jamani, tuboreshe reli ya kati toka Dar hadi Kigoma, pale tuunganishe reli toka Tabora au kigoma hadi Burundi na Rwanda(waziri wa Rwanda alishakuja hapa unakumbuka), pia tutengeneza barabara nzuri itakayopitia kule Bukoba au kama kuna uwezekano tuunganishe na reli hadi Uganda, huku zambia wanatutegemea kwa Tanzania Zambia Road authority, tanzania railway authority(Tazara) na bomba la mafuta tazama. kule mozambique, daraja likiisha tu mwaka huu mtu anaweza akasafiri kwa gari haraka sana hadi s.africa kwasababu wareno walijenga barabara safi toke mozambique hadi sauz, malawi ni kuwaunganisha kidogo tu pale Kyela au hata na barabara au reli toka Mtwara(mtwara corrido) hado Kyela au hata mpakani na malawi. tumezungukwa na milango mingi ya kuexport.
nimeangalia kuna jamaa mtz mmoja hivi kule mashada ya wakenya, aisee amefafanua sana hili nikapenda. itaisha lini watz wanaoenda bukoba au mwanza kupitia kenya na uganda wakati wanaenda kwenye nchi yetu humuhumu? hivi kwanini? au hili lilishaisha wajameni wanaojua tuelezeni. kwanini tusitengeneza na barabara toka Bongo hapa hadi bukoba na mwanza mtu asafiri kwa siku moja hata kwa gari ndogo ya mark two? sina uhakika kama ni solved mtanirekebisha, lakini kitu cha muhimu, nilitaka watu wajue namna tz inavyowez kufanya mambo makubwa hapa.
Burundi inatutegemea kuingiza mizigo yao, Rwanda nayo hata kama kwasasa wanawategemea kenya through uganda, lakini wanataka direct isipitie nchi nyingine. uganda itafika tu kipindi watakapoona kupitia kenya ni ukoloni, hivyo tutawanyang'anya wakenya wateja wao wa mombasa port.
kuipiku mombasa port ni muhimu sana. tufanyeje? ni kuiboresha bandari ya Dar, na pia kama tulivyoambiwa kipindi sha nyuma kuwa wawekezaji toka Saudi Arabia wanakuja kujenga Bandari kubwa Bagamoyo, hiyo ingekuwa kitu kikubwa sana. hivi hili wazo lilienda wapi? UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO? na kuboresha bandari ya Tanga na Mtwara daraja la mzumbiji likiisha? vipi hapo? kama viongozi wetu ni wazalendo na wana uchungu na nchi kama sisi wengine tulivyo, hivi tutashinda kufika mbali kweli? hapana, tunaweza. Mungu ibariki Tanzania. Amin.
Jamani, tuboreshe reli ya kati toka Dar hadi Kigoma, pale tuunganishe reli toka Tabora au kigoma hadi Burundi na Rwanda(waziri wa Rwanda alishakuja hapa unakumbuka), pia tutengeneza barabara nzuri itakayopitia kule Bukoba au kama kuna uwezekano tuunganishe na reli hadi Uganda, huku zambia wanatutegemea kwa Tanzania Zambia Road authority, tanzania railway authority(Tazara) na bomba la mafuta tazama. kule mozambique, daraja likiisha tu mwaka huu mtu anaweza akasafiri kwa gari haraka sana hadi s.africa kwasababu wareno walijenga barabara safi toke mozambique hadi sauz, malawi ni kuwaunganisha kidogo tu pale Kyela au hata na barabara au reli toka Mtwara(mtwara corrido) hado Kyela au hata mpakani na malawi. tumezungukwa na milango mingi ya kuexport.
nimeangalia kuna jamaa mtz mmoja hivi kule mashada ya wakenya, aisee amefafanua sana hili nikapenda. itaisha lini watz wanaoenda bukoba au mwanza kupitia kenya na uganda wakati wanaenda kwenye nchi yetu humuhumu? hivi kwanini? au hili lilishaisha wajameni wanaojua tuelezeni. kwanini tusitengeneza na barabara toka Bongo hapa hadi bukoba na mwanza mtu asafiri kwa siku moja hata kwa gari ndogo ya mark two? sina uhakika kama ni solved mtanirekebisha, lakini kitu cha muhimu, nilitaka watu wajue namna tz inavyowez kufanya mambo makubwa hapa.
Burundi inatutegemea kuingiza mizigo yao, Rwanda nayo hata kama kwasasa wanawategemea kenya through uganda, lakini wanataka direct isipitie nchi nyingine. uganda itafika tu kipindi watakapoona kupitia kenya ni ukoloni, hivyo tutawanyang'anya wakenya wateja wao wa mombasa port.
kuipiku mombasa port ni muhimu sana. tufanyeje? ni kuiboresha bandari ya Dar, na pia kama tulivyoambiwa kipindi sha nyuma kuwa wawekezaji toka Saudi Arabia wanakuja kujenga Bandari kubwa Bagamoyo, hiyo ingekuwa kitu kikubwa sana. hivi hili wazo lilienda wapi? UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO? na kuboresha bandari ya Tanga na Mtwara daraja la mzumbiji likiisha? vipi hapo? kama viongozi wetu ni wazalendo na wana uchungu na nchi kama sisi wengine tulivyo, hivi tutashinda kufika mbali kweli? hapana, tunaweza. Mungu ibariki Tanzania. Amin.
Ubungo ubungo,
Thanks for you patriotic idea. Ni jambo lisilokuwa na ubishi kuwa, kama tutaunganisha nchi kama Rwanda, Burundi, Uganda na DRC kwa njia ya Reli na Barabara tunaweza kupata pato kubwa kutoka kwa hawa jamaa.
Sasa nikueleze hatua iliyofikiwa ambayo naiona ingawa inamapungufu lakini jamaa wamejitahidi. Kuna Barabara ya kutoka Itigi, Tabora hadi Kigoma weneyewe wanasema mkandarasi amepatikana na wameanza kuikwaruza. Kuna mto malagalasi kunahitajika daraja kama lile la mto rufiji, mkandarasi wa kikorea ameshapatikana. Kutoka Kigoma mjini kuna barabara inatengenezwa kwa kiwango cha lami na mkandarasi wa kichina, barabara hii ni ile inayopita kwenye jimbo la Mhe. Zitto na kuishia kwenye mpaka wa Tanzania na Burundi. Kwa upande wa Rwanda, kuna barabara ya kasahunga ambayo nayo iko katika kiwango cha lami kwenda Rwanda wanaojua zaidi watatuelewesha. Ninavyoona mimi tayari serikali imejitahidi kutenegeneza baraba unganishi ambazo kwa kweli ni muhimu kwa uchumi wa nchi yetu. Lakini Reli ingefaa zaidi kutoka na uwezo wa kubeba mizigo mingi kwa wakati mmoja.