Mdiyo maana wazungu wanaishi nje ya miji wakaona wawe na malla kama sehemu ya kufanya shopping. Sisi tunajenga kutibu shida gani?Maendeleo tunayahitaji kwa namna yoyote ile, kila kitu useful kilivumbuliwa kutibu tatizo fulani katika jamii fulani. So wacha wajenge tu
Maana yake malls zinahitajika ku-accomodate banks.Inabidi uelewe mteja mkuu wa malll ni nani?
Mteja mkuu wa Mall ni mabenki
Mabenki mengi hayapendi kujenga jengo mradi kufungua branch tu....
Acha kukaririKuna mtu alisema dunia ilipofikia/inapoelekea sasa hivi siyo tena muda wa kujivunia kuwa na malls nyingi maana siku hizi habari ya mjini ni online shopping
Hii nayo ni point nzuri sana. Online shopping inakuja kwa kasi. Haya ma Mall yatakuwa hayana maana tena.Kuna mtu alisema dunia ilipofikia/inapoelekea sasa hivi siyo tena muda wa kujivunia kuwa na malls nyingi maana siku hizi habari ya mjini ni online shopping
Mkuu hapo umeua🤣🤣🤣🤣sisi ni kila siku au kila mlo tunaenda dukani/sokoni
Hata huko kwenye mall wanaweza kuweka kitengo cha online shopping kwa kuweka bidhaa kwenye mtandao mtu akipenda anapelekewa.Hii nayo ni point nzuri sana. Online shopping inakuja kwa kasi. Haya ma Mall yatakuwa hayana maana tena.
Kwenye mall kuna maduka ya nguo, huduma Za kibenki,migahawa,cinema,kumbi za mikutano /shughuli mbalimbali ,super/hyper markets,maduka y vito nk. ...Kihistoria hizi shopping zilianzishwa baada ya wazungu wengi huko US kuanza kuishi nje ya mji (suburban). Hizi nazo zikawekwa maeneo ya huko. Watu walifuata huduma hapo na magari na ndiyo kisa cha malls kuwa na parking kubwa sana. Kwa hiyi hizi mall huwa zinachukua eneo kubwa sana, eneo la jengo na parking.....