mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Tanzania imetajwa kuwa ya pili Kati ya nchi 40 Afrika zilizofanyiwa utafiti juu ya matumizi ya technology yenye tija kwa maendeleo. Maendeleo Tanzania yatalipuka kwa kesi kwa kuwekeza kwenye nafasi hii tuliyoishika ambayo kwa mtazamo wangu tumeipuuza,
Leo ghafla tumekuwa wa pili Afrika kwa matumizi ya technology kama takwimu hapo..
Ya kwanza Morocco iliyopata 71.6
Ya pili Tanzania iliyopata 68.8
Ya Tatu Rwanda iliyopata 68.2
Nchi hii ndogo ya Rwanda imetenga 100 millions USD maalumu kwa ajili ya kuwasupport wavumbuzi vijana ktk ICT. Mikakati hii inaonyesha watatupita kwa speed katika njozi yao ya digital Rwanda.
Kuna pesa za kigeni nyingi kweny technology, PayPal transactions kwa tanzania Kuna fursa nyingi zimekwamishwa Bila sababu sina lugha Nzuri kuelezea nitatafuta uzi husika umo JF niuweke tuelewe, fursa ya viatell villages digitization, blogs Kuna pesa huko nyingi za kigeni, software development, uandishi wa makala kwa malipo mfano listverse. Com, smart agriculture hekari moja unaweza kupata pesa ya heka mia kwa kutumia agritech, kutatua matatizo ya jamii kwa kudevelop useful apps, yupo kijana mtanzania kafanya hilo, GPS kucontrol Ajali na spidi za mabasi, etc huku na kwingineko kwa taarifa hii Tanzania tutagundua ya viwanda inapaswa kutanuliwa wigo kuacha kudhani mechanical industries na kukumbuka techindustry.
Pamoja na vote tujiongeze kwa mambo mazuri, uchadema au uccm usitupofushe tukasahau juhudi zetu. Tupongezane.....
Nimpongeze mwanajf mwenzetu pia LOGORIDDIM kwa ushuhuda wa kazi zake za ubunifu alizowahi kutueleza ushuda wa kazi zake mitandaoni zilizopata wateja nchi nyingi nje ya Tanzania kwa muda mfupi Manufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao
Nini maoni yako....