technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,674
- 58,630
Kabisa...hii ni tabia ya kipumbavu sana..Unataka kila siku uwe nchi masikini?
Yaani unalalamika kukosa msaada wa kimaskini!! Kuna watanzania ni nyumbu watembeao na miguu miwili.
Unataka kila siku uwe nchi masikini?
Yaani unalalamika kukosa msaada wa kimaskini!! Kuna watanzania ni nyumbu watembeao na miguu miwili.
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo uku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAIDS nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo uku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAIDS nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?