Tanzania Tops Africa like Mount Kilimanjaro

Tanzania Tops Africa like Mount Kilimanjaro

Asilimia 98% zetu hazina uwezo wa kutembelea mbuga za wanyama au kupanda mlima Kilimanjaro. Wanaofaidi na hizi rasilimali ni wageni wanaoleta wataliii wao, wageni waliojenga mahoteli, na vigogo wachache waliopewa rushwa na nafasi za kuwekeza kwenye hizo biashara. Utumbo mtupu.

Pamoja na ukereketwa wako lakini hujawahi kutembelea makao makuu ya CHAGA SACCOS yenu pale ufipa kinondoni. Sembuse mbuga za wanyama........
 
We tanzanians we have a lot of resources which will make us to be rich,the issue is to take care of this resources so as to increase life standards of the people in our country.
 
Haya chadema andamaneni kupinga na hilo, mseme hivyo vivutio vimegushiwa sio sahihi. Muunde Umoja wa Kupinga Vivutio(UKUVI).

wekweli ndyo chuki hata post zako za chuki mm ningeomb ungebadilisha id ungejiita furaha,,anyway kuhusu cdm ungepaswa kushukuru sbb uko na cdm inayokutetea,bila cdm tznia ingekuwa branch ya jehanamu na kina lukuvi mwigulu wangekuwa miungu watu,kelele za cdm inakufanya ww uwe na amani na ujue haki yako ama sivyo ungekuwa huna tofauti napunda,nakazi yako nikuzalisha watoto wakifalme akina riz1 j makamba na wengneo wakitanua huku mapunda mkiteseka ndani ya nchi yenu.shukuru mungu uko na cdm,
 
Pamoja na ukereketwa wako lakini hujawahi kutembelea makao makuu ya CHAGA SACCOS yenu pale ufipa kinondoni. Sembuse mbuga za wanyama........

Stick to the issue. Mambo yangu binafsi yanahusiana vipi na huu mjadala?
 
Sisi wanabavicha tunapinga suala hili kwa nguvu zote.
Na leo saa nane dr slaa anakutana na press conference kutoa msimamo wa chama.
 
hongera sana rais kikwete

hii ni natural resources, zawadi kutoka kwa mungu. Mshukuru mungu sio kikwete,,,
Pili uulize watawala na kikwete wameutumiaje kunufaisha wananchi???
sisi wananchi hatukati miti hovyo wala kuchoma misitu, kwa kifupi tunalinda rasilimilali a.k.a zawadi kutoka kwa MUNGU.
 
Haya chadema andamaneni kupinga na hilo, mseme hivyo vivutio vimegushiwa sio sahihi. Muunde Umoja wa Kupinga Vivutio(UKUVI).

Du hii nayo kali,, kwa hiyo unatuambia moja ya vitu walivyofanya CCM ni pamoja na kuuleta mlima kilimanjaro tz??
 
Kweli Chadema ikishika dollar utaona faida ya utali Tanganyika yetu nzuri
 
Yet.... the most backward country, dirt poor and with ignorant and slave population. What a waste God has...
 
Tuwaombe viongozi wetu walau wahakikishe Mali asili zetu hasa twiga na tembo nk hazifisadiwi na walafi wachache
 
Back
Top Bottom